Msaada kwa wataalam wa JF! Napata maumivu makali kwenye joints za mikono

mbwangali

JF-Expert Member
Jan 8, 2021
871
1,510
Habari za wakati huu wanajukwaa. Nimepatwa na tatizo la kupata maumivu kwenye joints za mikono ( zilizokaribu na viganja vya mkono).Tatizo lilianza mwanzoni mwa mwaka huu ila maumivu nilikuwa nayapata nikishika kitu kwa nguvu au nikivunja kitu kwa nguvu kwa kutumia mikono.

Nilikwenda hospital nikapaewa dawa aina mbili (Febuxostat na Meloxicam)ambazo nilitumia mwezi mzima na nilipata nafuu kidogo tu lakini tatizo liliendelea.

Nilirudi tena hospital nikapewa dawa nyingine inaitwa Calcivita pamoja na Meloxicam. Nimemaliza kuzitumia week iliyopita lakini bado napata maumivu.

Nina mpango wa kwenda hospital nyingine tena ila nimeona kabla ya kwenda ni vema pia nikiomba msaada na ushauri kwa wenye ujuzi hapa jukwaani kwasababu kuna member aliwahi kuomba msaada wa dawa ya kutibu tatizo fulani ambalo na mimi nilikuwa nalo hivyo nilifuatilia kwa makini wadau waliotoa ushauri na tiba hapahapa jukwaani na mimi nikafuata ushauri ule na nikapona kabisa lile tatizo langu, hivyo naamini hata kwa tatizo hili la sasa naweza kupata msaada.
 
Pole sana mkuu. Umecheck uric acid? Jitahidi ujue chanzo cha hayo maumivu. Usitumie NSAID muda mrefu sio nzuri kiafya.. Get better soon
 
Habari za wakati huu wanajukwaa. Nimepatwa na tatizo la kupata maumivu kwenye joints za mikono ( zilizokaribu na viganja vya mkono).Tatizo lilianza mwanzoni mwa mwaka huu ila maumivu nilikuwa nayapata nikishika kitu kwa nguvu au nikivunja kitu kwa nguvu kwa kutumia mikono.

Nilikwenda hospital nikapaewa dawa aina mbili (Febuxostat na Meloxicam)ambazo nilitumia mwezi mzima na nilipata nafuu kidogo tu lakini tatizo liliendelea.

Nilirudi tena hospital nikapewa dawa nyingine inaitwa Calcivita pamoja na Meloxicam. Nimemaliza kuzitumia week iliyopita lakini bado napata maumivu.

Nina mpango wa kwenda hospital nyingine tena ila nimeona kabla ya kwenda ni vema pia nikiomba msaada na ushauri kwa wenye ujuzi hapa jukwaani kwasababu kuna member aliwahi kuomba msaada wa dawa ya kutibu tatizo fulani ambalo na mimi nilikuwa nalo hivyo nilifuatilia kwa makini wadau waliotoa ushauri na tiba hapahapa jukwaani na mimi nikafuata ushauri ule na nikapona kabisa lile tatizo langu, hivyo naamini hata kwa tatizo hili la sasa naweza kupata msaada.

Habari!

Pole kwa kuumwa.
Kwa dawa ulizopewa, inaonekana kuna dawa ya Uric acid.

1: Je ulifanya kipimo cha kuangalia kiasi cha uric acid?

2: Kama uric acid ilikua juu, je ulipewa taratibu za kuzingatia kwenye maisha ya kila siku ili kutopandisha kwa wingi uric acid?

3: Je taratibu zimezingatiwa?
 
Adante sana mkuu
1. Nilipimwa ndio ila niliambiwa kiasi kilichopo sio kikubwa sana hivyo haiwezi kuwa sababu ya moja kwa moja ya kupata maumivu
2. Sikuambiwa taratibu zozote zaidi ya dawa nilizopewa na kuambiwa zinanisaidia.
 
Habari za wakati huu wanajukwaa. Nimepatwa na tatizo la kupata maumivu kwenye joints za mikono ( zilizokaribu na viganja vya mkono).Tatizo lilianza mwanzoni mwa mwaka huu ila maumivu nilikuwa nayapata nikishika kitu kwa nguvu au nikivunja kitu kwa nguvu kwa kutumia mikono.

Nilikwenda hospital nikapaewa dawa aina mbili (Febuxostat na Meloxicam)ambazo nilitumia mwezi mzima na nilipata nafuu kidogo tu lakini tatizo liliendelea.

Nilirudi tena hospital nikapewa dawa nyingine inaitwa Calcivita pamoja na Meloxicam. Nimemaliza kuzitumia week iliyopita lakini bado napata maumivu.

Nina mpango wa kwenda hospital nyingine tena ila nimeona kabla ya kwenda ni vema pia nikiomba msaada na ushauri kwa wenye ujuzi hapa jukwaani kwasababu kuna member aliwahi kuomba msaada wa dawa ya kutibu tatizo fulani ambalo na mimi nilikuwa nalo hivyo nilifuatilia kwa makini wadau waliotoa ushauri na tiba hapahapa jukwaani na mimi nikafuata ushauri ule na nikapona kabisa lile tatizo langu, hivyo naamini hata kwa tatizo hili la sasa naweza kupata msaada.
1: Umri?

2: Jinsia?

3: Pande zote mbili au moja?

4: Kazi yako?

5: Kuna sauti zozote kwenye joints wakati wa kukunja na kukunjua au ugumu kukunja vs kukujua?

6: Kuna joints nyingine zaidi ya hizo zina maumivu?

7: Kuna kuvimba?
 
1. 30
2. Ke
3. Pande zote 2
4. Ofisini & field
5. Hapana
6. Hapana
7. Hapana
 
Back
Top Bottom