Msaada wa tiba ya maumivu ya kiuno

Tatizo lipo Blesses na ndo maana unaumwa unakosa raha. Sema tu hujapata vipimo vya kutosha kujua unashida gani. Nadhani hukuzaliwa na hayo maumivu pole dear . Usichoke kupima utapata ufumbuzi one day
 
Naombeni mnishauli dawa kiuno kinaniuma sana nimenunua dawa ya kuturiza aina ya DICLOPAR kunamtu kanieleza kua nisizimeze zinamazala kwa afya ya binadam je nikweli nakama nikweri nitumie dawa gani?
 
naombeni mnishauli dawa kiuno kinaniuma sana nimenunua dawa ya kuturiza aina ya DICLOPAR kunamtu kanieleza kua nisizimeze zinamazala kwa afya ya binadam je nikweli nakama nikweri nitumie dawa gani??????????????????

Umeoa? Km bado tafuta ata mlupo kesha nae ucku 1 utaleta jbu
 
Nimehangaika sana, kiuno kinaniuma hata wakati mwingine siwezi kuinama, na kukaa inakuwa shida.
Madaktari wengine wananiambia ni nyonga imeshtuka, wengine damu chafu (ESR 30 MLS) dr mwingine anasema chango. Nimepewa dawa za u.t.i hazikusaidia.
Nimechoma sindano za POWERCEF, angalau sasa naweza kuinama na kukaa vizuri. Ila nikikaa kunyanyuka napata maumivu makali kiunoni.
 
Pole sana.nilikuwa na tatizo hilo kwa vipindi tofauti kuanzia 1999-2012.hayo maumivu asikuambie mtu..mbali na kusikia maumivu wakati wa kuinama,kukaa mimi ilikuwa hata nikiwa nimelala kujigeuza ni maumivu makali sana..kutembea ndio usiseme..baada ya kuhangaika nilipata tiba ambayo huu mwaka wa 3 sijawa stricken na hiyo kitu.kuna dawa(gel) ya kupaka ....jina ntakupa baadae.kabla ya kupaka kiunoni
 
Sorry nilipost kabla sijamaliza...chemsha maji yawe ya moto then paka dawa yako.tafuta taulo liloweke kwa hayo maji lilalie wakati umekunja miguu kama 45 degrees kaa hivyo kwa 5-10 minutes rudia kama mara mbili.do that exercise kila siku kama utaweza kwa mwezi mzima ukiwa umepumzika nyumbani(i did it for 2 weeks) it worked.kwanza siku hiyo hiyo nilipofanya treatment hiyo nilijisikia nimepona...try it
 
Hata mimi hiyo dawa ya asili naiomba jamani. Nimehangaika sana.. Dr mmoja anasema ni nyonga imeshtuka. Mwingine chango. Wote hao wamenipa dawa lakini sikupata nafuu. Dr mwingine akaniambia damu chafu yaani ESR 30 mls. Akanichoma sindano tano za powercef angalau nikaweza kukaa na kuinama. Lakin nikinyanyuka bado napata maumivu makali kiunoni. Msaada tafadhali
 
Sorry nilipost kabla sijamaliza...chemsha maji yawe ya moto then paka dawa yako.tafuta taulo liloweke kwa hayo maji lilalie wakati umekunja miguu kama 45 degrees kaa hivyo kwa 5-10 minutes rudia kama mara mbili.do that exercise kila siku kama utaweza kwa mwezi mzima ukiwa umepumzika nyumbani(i did it for 2 weeks) it worked.kwanza siku hiyo hiyo nilipofanya treatment hiyo nilijisikia nimepona...try it

sawa mkuu hiyo dawa(gel) inaitwaje?
 
Back
Top Bottom