Msaada wa tatizo la mwanga kwenye Tecno H5

ELIAS MICHAEL MORRIS

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
384
Reaction score
298
Ndugu zangu wana JF nina TECNO H5, yani kila ninapopiga simu mwanga (brightnes) inajiweka off na ninapopigiwa yani nikipokea tu mwanga hujizima pia. Sasa inakua ngumu mno kukata simu yani mpaka nitoe betri.

Naomba mwenye kujua jinsi ntakavyoweza kuirekebisha anielekeze.

Asanteni.
 
Badilisha sensor inaitwa (proximity sensor) ndiyo kazi yake kwenye simu za android.
 
Mimi nina TECNO P6 huwa ina load messages za nyuma hata kama umezi-delete, naomba kuelekezwa tatizo ni nini? Maana hata setting yake kwenye ku load previous sms iko off.
 
Anzisha thread yako usaidiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom