Msaada wa tatizo la simu

Msaada wa tatizo la simu

Nikupa

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2018
Posts
397
Reaction score
524
Habari ,ninaomba msaada nina tatizo katika simu yangu aina ya tecno spark 4, tatizo lenyewe ni kwamba nikipigiwa au kupiga nikishapokea au niliempgia akishapokea basi screen ya simu inajizima.

Kwahiyo hapo nakua siwezi kukata hadi nimwambie ninaeongea nae kata maana mimi siwezi kukata pale katika screen kunakua giza hadi simu ikate ndio na mwanga unarudi, mwenye kujua tatizo anisaidie.
 
Habari ,ninaomba msaada nina tatizo katika simu yangu aina ya tecno spark 4 ,tatzo lenyewe ni kwamba nikipigiwa au kupiga nikishapokea au niliempgia akishapokea basi screen ya sim inajizima kwaiyo apo nakua siwezi kukata adi nimwambie ninaeongea nae kata maana mimi siwezi kukata pale katika screen kunakua giza adi sim ikate ndio na mwanga unarud, mwenye kujua tatizo anisaidie.
Restore factory setting
 
Habari ,ninaomba msaada nina tatizo katika simu yangu aina ya tecno spark 4, tatizo lenyewe ni kwamba nikipigiwa au kupiga nikishapokea au niliempgia akishapokea basi screen ya simu inajizima.

Kwahiyo hapo nakua siwezi kukata hadi nimwambie ninaeongea nae kata maana mimi siwezi kukata pale katika screen kunakua giza hadi simu ikate ndio na mwanga unarudi, mwenye kujua tatizo anisaidie.
Mifumo Ming ya simu za kisasa imeletwa na huo mfumo Wala sio tatizo ukitaka kujua wakat umepigiwa simu ukishapokea na kuweka sikion huwa inazima hili kukulinda na mionzi mikali ya simu
[emoji110]
 
Sidhani mkuu, huko kuzima screen nafikiri ni kulinda simu isikate tu ila jwa mionzi sifikiri kama hilo giza linazuia, refer EMW can travel even in vacuum.
 
Mifumo Ming ya simu za kisasa imeletwa na huo mfumo Wala sio tatizo ukitaka kujua wakat umepigiwa simu ukishapokea na kuweka sikion huwa inazima hili kukulinda na mionzi mikali ya simu
[emoji110]
Sasa tatizo inazima ata kukata nashindwa ad akate aliyepiga au niliyempgia
 
Tatizo ni protector ama uchafu umeziba sensor. Hio sensor ukipokea simu na kuiweka sikioni, sikio likiziba mwanga automatic simu inajizima kioo.

Hivyo sensor ikizibwa na protector ama uchafu inajizima maana inahisi tayari imeshazibwa na simu ipo sikioni.

Safisha/eka protector vizuri.
 
Asante .
 
Habari ,ninaomba msaada nina tatizo katika simu yangu aina ya tecno spark 4, tatizo lenyewe ni kwamba nikipigiwa au kupiga nikishapokea au niliempgia akishapokea basi screen ya simu inajizima.

Kwahiyo hapo nakua siwezi kukata hadi nimwambie ninaeongea nae kata maana mimi siwezi kukata pale katika screen kunakua giza hadi simu ikate ndio na mwanga unarudi, mwenye kujua tatizo anisaidie.
No hata mm mi play ilinitesa sana ni setting tu nimepasau nilivyoi off screen nn sikumbuki ila ilinitesa kama mwezi hivi nikawa nikimpigia mtu namuomba tukimaliza mazungumzo anisaidie kukat simu
 
sikia weka power button kama end call button kwenye setting ukimaliza unabonyeza tu
 
Tecno mwezi huu zimecharuka matatizo, poleni sana mliokunywa maji ya bendera ya tecno.
 
Back
Top Bottom