Msaada wa tatizo la laptop 'windows failed to connect to service' na mengineyo

Msaada wa tatizo la laptop 'windows failed to connect to service' na mengineyo

Mkuu, heshima yako, nisaidie kuhusu kuboot Acer Aspire E3-111
Bios version V1.05.
Kiufupi nikwamba computer iligoma kuboot kutoka kwenye Flash ambapo nilikuwa na window 10,iliyocollapse na kutaka kuweka7 hapo ndipo inapogoma kuboot ili niendelee na installation. Kwa sasa boot mode ipo UEIF1 na siwezi kunavigate coz item zote zimefaint hakuna command inayokubali hapo,kwa sasa hdd haina window coz niliitoa nika format Kwa computer nyingine nikairudisha ila tatzo bado halijasovika.
Msaada wako mkuu
 
1. ukidowngrade windows hakikisha drivers zipo, kama hio windows haikuja na windows 7 kuna uwezekano mkubwa ukapata matatizo ya driver

2. laptop za win 8 kupanda zina kitu kinaitwa secure boot kwenye uefi yake, mpaka ueke off kwanza soma zaidi hapa
http://www.howtogeek.com/175641/how-to-boot-and-install-linux-on-a-uefi-pc-with-secure-boot
 
Mkuu window 10 ni window mpya inamaana mapungufu yaliyokuwa katika window zilizopita Microsoft wameweza kuyaweka sawa katika hii window mpya vilevile wanampango wa kuziondoa sokoni window za zamani zisitumike ili wawe wanaifanyia tu update Hii window mpya sasa ili usipate usumbufu ni bora ukatumia hii window mpya kwasababu iko poa na haisumbui kabisaView attachment 408437
wadau msaada jinsi ya kupiga window 8 kwa kutumia cd je nitafanyaje na nataka kuweka window 8 kutoka window 7 kwenye laptop dell
 
Au nenda kwenye download andika driverspacksolution utaipata run it after installing
 
Hold "control key" na "alt" kwa muda mmoja then restart hyo pc yako kipindi umehold hzo Keyboard mpk pc iwake then utapewa options za kurefresh pc yako itarud katika restore mode kutokana na date ambayo ilo tatizo lime happen
 
Back
Top Bottom