Sarikiaeli
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 971
- 1,606
Habari ya uzima wakuu ! Naomba msaada wa haraka, kwa ajili ya ndugu yangu, sawa kichwa cha habari hapo juu.
Ndugu yangu, amepatwa na changamoto kubwa ya ugonjwa wa kisukari, unaombatana na vidonda vikubwa hasa miguu yote!
Hivyo, naomba ushauri wenu wakuu mahali hapa, hasa kwa wenye ushuhuda wa watu walipona vidonda vinavyotokana na ugonjwa wa kisukari cha kurithi.
Asante sana kwa ushirikiano.