Msaada wa sumu ya paka

Nyaubikra

JF-Expert Member
Sep 21, 2019
235
500
Habarini na mihangaiko wakuu

Mimi Kama member wa humu sio mjuzi Sana na mzoefu wa kutumia JF app lakini katika kupitapita siku moja sijui ni category ipi nikakuta wanazungumzia kuhusu kuhusu sumu ya kuwauwa Hawa wanyama aina ya paka 🐈 Mana kwa sumu za panya imeshindkana kabisa

Naomben msaada ni sumu gani unaweza kuwauwa Mana katika ule Uzi niliona wametaja na jina Ila sikumbuki na sijui ku-search

Location ninayoishi ni Mbeya kama mtu atanielekeza duka nikaipata ntashukuru sana🙏🙏
 

Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Sep 4, 2018
3,181
2,000
Mbeya sehemu gani. Wako wangapi ili niandae mishale ya kuwatosha nije nimalizane nao chap.
Paka hahitaji sumu, labda kama ulikusudia panya.
mi nipo TAZAMA
 

Tyrex

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
1,640
2,000
Umekusudia kumua paka kwani kakukosea nn
Screenshot_20200831-213644_One%20UI%20Home.jpg
 

May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
3,865
2,000
Duh, we Jamaa katili sana, kwa nini uue Paka?. viumbe wastaarabu sana....kama huwataki hapo walipo tafuta namna uwakamate ukawaache mahali watapata hifadhi kwa wengine.
 

Joselela

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
4,803
2,000
Kuna jamaa ananunua paka anakula yupo maeneo ya uyole tazara, anaitwa Kenyatta.
 

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
8,893
2,000
lakini katika kupitapita siku moja sijui ni category ipi nikakuta wanazungumzia kuhusu kuhusu sumu ya kuwauwa Hawa wanyama aina ya paka 🐈 Mana kwa sumu za panya imeshindkana kabisa
Jaribu hii.
Karanga sisage halafu nyunyizia kidogo kamchuzi ka samaki changanya na cement upate uji mzito pembeni mtengee maji kidogo, hapati haja hadi kifo kutokana na tofali la block ulilolifyatua
Chanzo:
- Nani anayejua hili?
 

Nyaubikra

JF-Expert Member
Sep 21, 2019
235
500
Tatizo sio wadogo wakuweza kuwakamata Ila ni wazoefu was kukimbia na kula vyakula vya sumu bila kufa.
 

Lovery

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
1,424
2,000
Niliwapenda tu nikiwa mdogo Ila Sasa nawachukia
Tumia ratox kutoka msumbiji weka pact 3 kwa kila chakula kidogo unachotega, akila hataweza kufika hata mita 15 atafia hapo hapo.

Mimi nawaua sana kwasababu wananimalizia vifaranga.
 

Nyaubikra

JF-Expert Member
Sep 21, 2019
235
500
Tumia ratox kutoka msumbiji weka pact 3 kwa kila chakula kidogo unachotega, akila hataweza kufika hata mita 15 atafia hapo hapo.

Mimi nawaua sana kwasababu wananimalizia vifaranga.

K
Naipata wapi hyo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom