Njoo nkupe infinix 260k mwanzaHabari wana jf, naombeni msaada wa simu gani nzuri ya sony expweria na ya bei rahisi. Nakumbuka niliombaga msada hapa nikashauriwa sumsung s6 nimenunua mpya dukan imekufa siamini, imeshanitesa nimeamua ninunue tu simu mpya ushauri wenu nina laki 4
Kutana na xiaomi redmi note 4 au xiaomi. Yoyote amabayo ni current kwa sasa hutojutaInfinix hata unipe bure sichukui