Msaada wa simu gani nzuri

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
439
240
Habari wana jf, naombeni msaada wa simu gani nzuri ya sony expweria na ya bei rahisi. Nakumbuka niliombaga msada hapa nikashauriwa sumsung s6 nimenunua mpya dukan imekufa siamini, imeshanitesa nimeamua ninunue tu simu mpya ushauri wenu nina laki 4
 
Njoo nkupe infinix 260k mwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom