Charger Nzuri za Simu

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,553
3,515
Habari wakuu!

Ninafanya biashara za kuchaji simu, lakini bahati mbaya sijabahatika kupata charger nzuri zinazovumilia na kuchaji haraka (heavy duty).

Naombeni ushauri ninunue charger brand ipi na nizipate sehemu gani hapa Dar?

Shukrani.

IMG_20221201_081542_1.jpg
 
Nunua chaja brand ya anker ( hakikisha ni anker org)kampuni imepewa tuzo kwa utoaji chaja bora .Hutokaa ujutie maisha yako yote
Habari wakuu!

Ninafanya biashara za kuchaji simu, lakini bahati mbaya sijabahatika kupata charger nzuri zinazovumilia na kuchaji haraka (heavy duty).

Naombeni ushauri ninunue charger brand ipi na nizipate sehemu gani hapa Dar?

Shukrani.

View attachment 2432201
 
Mkuu issue ya Fast charging ni pana sana kila kampuni inatumia protocal zake tofauti, fast charger ya Mi, haichaji Oneplus, Fast charger ya Oppo haichaji Samsung etc.

Kama una sehemu ya kuchajishia cha muhimu tafuta charger za kawaida ambazo ni 5V na 2A hizi zitachaji simu zote kwa speed nzuri, na kwa fast charging tafuta zenye power delivery, hizi zina compability kubwa na simu za Samsung, xiaomi, Sony, Motorola, na wachina wengine.

Kama una wateja wengi wa BBK kama Oppo, Vivo, Iqoo, Oneplus etc tafuta charger za Oppo wanauza 20k kariakoo, ila nenda na simu ya kutestia usije ukapigwa za kichwa.

Hizo za power delivery speed za kawaid kama 18W unapata 15,000 mpaka 30,000
 
Asante sana mkuu
 
BBK ndio kitu gani?
 
BBK ndio kitu gani?
Bbk kampuni mama ya brand kama Oppo, Realme, Vivo, Iqoo, oneplus etc.

Hao vitu vyao haviingiliani na wengine, ili ufast charge hizo simu inabidi uwe na charger mojawapo ya hizo kampuni.

Kwa Tanzania oneplus zipo za Kutosha ila bei ndefu Warp charger inacost mpaka 150,000 ila za Oppo ni bei nzuri hadi 20,000 unapata Vooc charger 20W ambayo ni 5V kwa 4A,
 
Mkuu issue ya Fast charging ni pana sana kila kampuni inatumia protocal zake tofauti, fast charger ya Mi, haichaji Oneplus, Fast charger ya Oppo haichaji Samsung etc.

Kama una sehemu ya kuchajishia cha muhimu tafuta charger za kawaida ambazo ni 5V na 2A hizi zitachaji simu zote kwa speed nzuri, na kwa fast charging tafuta zenye power delivery, hizi zina compability kubwa na simu za Samsung, xiaomi, Sony, Motorola, na wachina wengine.

Kama una wateja wengi wa BBK kama Oppo, Vivo, Iqoo, Oneplus etc tafuta charger za Oppo wanauza 20k kariakoo, ila nenda na simu ya kutestia usije ukapigwa za kichwa.

Hizo za power delivery speed za kawaid kama 18W unapata 15,000 mpaka 30,000
Mkuu mimi nahitaji chaja nzuri kwa ajili ya simu yangu aina ya Oppo A3s
 
Hizi ndo charger bora kabisa.Nimeagiza moja Aliexpress pamoja na waya wake wa type C.Hii inasupport super fast charger kwa kucharge simu kutoka 0 mpaka 100 kwa saa na dak 20 tu.Hii charger naitumia kucharge mpaka laptop maana uwezo wake ni mpaka 65W.Bei yake ni kama dola 44 pamoja na waya.Ukiagiza bila waya bei inapungua kidogo.Hizi Gan charger hazipati choto kabisa na zina ufanisi mkubwa ajabu.
20230417_162906.jpg
20230417_162937.jpg
Charging status.jpg
20230417_162906.jpg 20230417_162937.jpg Charging status.jpg

Maelezo ya ziada haya hapa pia na aina za hizi charger

A Gallium Nitride (GaN) charger, also known as a GaN charger or GaN-based charger, refers to a type of power charger that utilizes Gallium Nitride (GaN) semiconductor technology in its design and construction. GaN chargers are known for their small size, high efficiency, and fast charging capabilities, making them increasingly popular in the consumer electronics market.
Compared to traditional chargers that use silicon-based semiconductors, GaN chargers leverage the unique properties of GaN to achieve improved performance. GaN is a wide-bandgap semiconductor material that allows for higher operating frequencies and higher power densities, resulting in chargers that can deliver more power in a smaller form factor.
One of the main advantages of GaN chargers is their higher efficiency. GaN transistors have lower resistance compared to silicon-based transistors, which results in reduced power losses and higher efficiency in power conversion. This means that GaN chargers can convert more of the input power into usable charging power, resulting in faster charging times and less wasted energy.
Another notable feature of GaN chargers is their compact size. The higher power density of GaN technology allows for smaller charger designs, which are more portable and convenient for travel. GaN chargers are typically smaller and lighter than traditional chargers, making them ideal for charging smartphones, tablets, laptops, and other portable devices on the go.
Furthermore, GaN chargers can deliver high-power charging capabilities, making them suitable for fast charging protocols such as USB Power Delivery (PD) and Qualcomm Quick Charge. GaN chargers can provide higher wattages and faster charging speeds, allowing devices to charge more quickly compared to traditional chargers.
Overall, GaN chargers offer several advantages, including higher efficiency, smaller size, and faster charging capabilities. They are becoming increasingly popular in the consumer electronics market due to their advanced features and potential for improving the charging experience for various devices. However, it's important to ensure that GaN chargers are used with compatible devices and follow proper safety guidelines to ensure safe and reliable charging.

Baadhi ya charger zilitongezwa kwa material haya ya Gallium nitride ni hizi hapa chini.

  1. Anker 65W GaN Charger
  2. RAVPower 61W GaN Charger
  3. Aukey Omnia 65W GaN Charger
  4. Belkin 68W GaN Charger
  5. UGREEN 65W GaN Charger
  6. Nekteck 65W GaN Charger
  7. Baseus 65W GaN Charger
  8. CHOETECH 100W GaN Charger
  9. Anker 30W GaN Charger
  10. RAVPower 30W GaN Charger
  11. Aukey Omnia 30W GaN Charger
  12. UGREEN 30W GaN Charger
  13. Nekteck 30W GaN Charger
  14. Baseus 30W GaN Charger
  15. CHOETECH 60W GaN Charger
  16. ZMI 45W GaN Charger
  17. HyperJuice 100W GaN Charger
 
Unaweza kununua hata za watt 20 au 30 kama hutaki kuitumia kucharge laptop na bei yake inakuwa ndogo zaidi.
 
Nunua chaja brand ya anker ( hakikisha ni anker org)kampuni imepewa tuzo kwa utoaji chaja bora .Hutokaa ujutie maisha yako yote
Nimeona power bank ya Anker kwa kweli ina ubora wa hali ya juu.Lakini bei yake imesimama parefu.
 
Attachments

  • power bank.jpg
    power bank.jpg
    355.5 KB · Views: 11
Back
Top Bottom