Msaada wa simu gani nzuri

Msaada wa simu gani nzuri

tiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2015
Posts
441
Reaction score
259
Habari wana jf, naombeni msaada wa simu gani nzuri ya sony expweria na ya bei rahisi. Nakumbuka niliombaga msada hapa nikashauriwa sumsung s6 nimenunua mpya dukan imekufa siamini, imeshanitesa nimeamua ninunue tu simu mpya ushauri wenu nina laki 4
 
Kidogo hapo ndani ya maelezo hapajakaa poa, expweria mkuu dah
 
Habari wana jf, naombeni msaada wa simu gani nzuri ya sony expweria na ya bei rahisi. Nakumbuka niliombaga msada hapa nikashauriwa sumsung s6 nimenunua mpya dukan imekufa siamini, imeshanitesa nimeamua ninunue tu simu mpya ushauri wenu nina laki 4
Njoo nkupe infinix 260k mwanza
 
Infinix hata unipe bure sichukui
 
Back
Top Bottom