Msaada wa Sim Nzuri ya laki mbili Wakuu

Msaada wa Sim Nzuri ya laki mbili Wakuu

Ni kweli tayari zipo bongo nilimwona jamaa yangu kainunua kilo mbili na point, appearance iko poa sana ila sijajua specifications zake na aina zake
kweli asee inabid afanye utafiti kidogo
 
Vip mbovu Au
Infinix ziko vizuri, kuanzia uwezo wa betri ni balaa unaweza kukaa online masaa 12 ukiwa na infinix hot 4 lite.
Huo ni mfano maana nilitumia kidogo ila zipo nyingi jitahidi upate yenye betri kuanzia 4,000mAh utafurahi na roho yako.

Bei zake ni za kawaida mnooo nenda shop utapata
 
Hizi simu huwa zinanikera charge Tu ,yaani unakuwa mtumwa wa charge vibaya
 
Hata mm ninahitaji sim ngoja tuendelee kusoma comments
 
Infinix ziko vizuri, kuanzia uwezo wa betri ni balaa unaweza kukaa online masaa 12 ukiwa na infinix hot 4 lite.
Huo ni mfano maana nilitumia kidogo ila zipo nyingi jitahidi upate yenye betri kuanzia 4,000mAh utafurahi na roho yako.

Bei zake ni za kawaida mnooo nenda shop utapata
Kwa iyo mkuu Kati ya tecno na infinix unanishauri ninunue Ipi
 
Back
Top Bottom