Sandiego
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 1,288
- 2,079
Hajasemea madrasaThaqaafa secondary and high school. Ada ndogo alafu wali kila siku usiku
Hajasemea madrasaThaqaafa secondary and high school. Ada ndogo alafu wali kila siku usiku
Ametaka shule, ndo hiyo nimeitajaHajasemea madrasa
Hata mimi nina recommend Pandahill. Ni shule nzuri kwa mbeya na ada ni nzuri ukilinganisha na shule za hapa mjiniJaribu Panda Hill Sec coz mdogo wangu wa kike nilimpeleka hapo baada ya kufaulu vizuri na kubakizwa Tabora Girls combination isiyo chaguao lake,ipo Songwe.Hiyo Songwe ni kijiji tu ambacho hata Mkuu hajui kuwa kipo mkoa wa Mbeya bali huhisi kipo mkoa wa Songwe kwa mujibu wa matembezi yake ya juzi kati
Ndipo ilipo Laferge Cement zamani Mbeya Cement na ndipo ilipo MbeyaTextile na Songwe International Airport.
Ni 1.8M kama sijakosea ila haizidi 2M.Ada sh ngap mkuu
Dogo kasoma PCB pale nilikuwa nalipa zaidi ya 1.4,fanya reseach kwa sasa ni ngapi.Ada sh ngap mkuu
Upo Mbeya?mshauri jamaa vizuri aelewe.Hata mimi nina recommend Pandahill. Ni shule nzuri kwa mbeya na ada ni nzuri ukilinganisha na shule za hapa mjini
Thaqaafa secondary and high school. Ada ndogo alafu wali kila siku usiku
Sio zaidi ya milionAda sh ngap mkuu
Jaribu Panda Hill Sec coz mdogo wangu wa kike nilimpeleka hapo baada ya kufaulu vizuri na kubakizwa Tabora Girls combination isiyo chaguao lake,ipo Songwe.Hiyo Songwe ni kijiji tu ambacho hata Mkuu hajui kuwa kipo mkoa wa Mbeya bali huhisi kipo mkoa wa Songwe kwa mujibu wa matembezi yake ya juzi kati
Ndipo ilipo Laferge Cement zamani Mbeya Cement na ndipo ilipo MbeyaTextile na Songwe International Airport.
Pandahill ada ni TZS 1,800,000. Kwa maneno ni milioni moja na laki naneNaomba unikumbushe kesho mchana kwa PM. Nitakuwa nimekutafutia information. Naifahamu to hiyo shule kwa kuwa kuna ndugu yangu mwenye mtoto hapo. Usiku huu ndugu sitaweza kukujibu ipasavyo
Wakuu habari,
Ninae mdogo wangu kamaliza form 4 kafaulu kiasi, Serekali imemchagua akasomee ualimu Ila mi napenda aende A level michepuo ya PCB au CBG. Naomba mwenye anajua shule za private za bei ya wastani katika mikoa ya Mbeya, Iringa Mwanza, Arusha na Kilimanjaro msaada wenu wakuu
Mi mkristoThaqaafa secondary and high school. Ada ndogo alafu wali kila siku usiku
Messa nimesoma pale A level na sisi ndo Wa kwanza kuianzisha a level ila kwenye science hawapo vizur kivileShule nzuri za Advance kwa combination za science kwa mwanza ni LAKE HIGH SCHOOL na MESSA HIGH SCHOOL
Lake hakuna bording ila kuna hostel
Messa bording ni million moja na laki nane na elfu Sabin
Wameniambia nafasi zimeishaPandahill ada ni TZS 1,800,000. Kwa maneno ni milioni moja na laki nane
Nimeambiwa imejaaHii shule ipo poa, wale mapadri wapo serious, ampeleke hapo
Now wapo vizuri bt cha kusikitisha now kuna mwanafunzi mmoja tu anaesoma PGM paleMessa nimesoma pale A level na sisi ndo Wa kwanza kuianzisha a level ila kwenye science hawapo vizur kivile
mlete pandahill mbeya
guarantee atafaulu akifeli nidai ada yako
ada haizidi milioni mbili
Now wapo vizuri bt cha kusikitisha now kuna mwanafunzi mmoja tu anaesoma PGM pale