Msaada wa SD card compatibility

ton11

Senior Member
Apr 8, 2019
106
135
Nataka kutumia sd card kwenye radio iliyokuja na gari (original) lakini nikiinsert napata mesage kuwa sd card haiko compatible na hiyo radio nataka kujua hizi sd card ziko tofauti tofauti? Mbona nikiweka kwenye slot yake inaingia vizuri tu kwa nini haisomi? Model ya hiyo radio ni NHZT-W58 naomba msaada kwa mdau mwenye ufahamu wa hili.
 
Nataka kutumia sd card kwenye radio iliyokuja na gari (original) lakini nikiinsert napata mesage kuwa sd card haiko compatible na hiyo radio nataka kujua hizi sd card ziko tofauti tofauti? mbona nikiweka kwenye slot yake inaingia vizuri tu kwa nini haisomi? Model ya hiyo radio ni NHZT-W58 naomba msaada kwa mdau mwenye ufahamu wa hili

Gb ngapi?
 
Sijafanikiwa bado bro

Nimeamua kutumia mfumo wa zamani wa cd rom nimeburn cd na kuingiza faili zote japo haiingizi zote kwa kuwa size yake ni ndo (700mb) hivyo inanibidi niwe na cd nyingi kuwexa kuburn zote karibu 16gb but naendelea kutafuta solution mwenye kuweza anaweza kunisaidia pia.
 
Back
Top Bottom