Jigga waitu
New Member
- Aug 31, 2018
- 1
- 0
bro ulitumia njia gan ku unlock network kwenye vfn 301
Habari blaza nimeona coment yako kuhusu scarter file ta vfd 300 nilikuwa naomba msaada wa link ndugu ntakupoza kakasolution ipo mim nili iformat kwa miracle box crack nlipo kua najaribu kutoa FRP lock ika stuck nilihangaika nayo zaid ya mwezi mzima hadi nikaja kupata file nika iflash mara moja tu ikawaka na file la hi vfd 301 halipo kabisa mtandaoni utagoogle mpaka uzeeke (mafile yaliyopo mtandaoni yote feki hayafanyi kazi) na nimadogo hayana vitu vyote nakumbka moja lina 408MB na jingine 301MB but file lake original lina 3.49GB tena nlivo maliza kuiflash nika iunlock network![]()
![]()
ROM vodafone vfd 301 | [Official]-[Updated] add the 10/03/2017 on Needrom
free no money no password VODAFONE V301 vodacom tanzania.
Enjoy guys!
Mkuu tunaomba shule kidogo hapa,Hii kesi nmekutana nayo leo, solution ni kutumia miracle dump file ndio unatoboa
Mkuu tunaomba shule kidogo hapa,
NAOMBA MSAADA WA LINK NAMI NIDOWNLOAD MKUUsolution ipo mim nili iformat kwa miracle box crack nlipo kua najaribu kutoa FRP lock ika stuck nilihangaika nayo zaid ya mwezi mzima hadi nikaja kupata file nika iflash mara moja tu ikawaka na file la hi vfd 301 halipo kabisa mtandaoni utagoogle mpaka uzeeke (mafile yaliyopo mtandaoni yote feki hayafanyi kazi) na nimadogo hayana vitu vyote nakumbka moja lina 408MB na jingine 301MB but file lake original lina 3.49GB tena nlivo maliza kuiflash nika iunlock network![]()
![]()
NAOMBA MSAADA NAMI NIPATE LINK MKUUHELLO NDUGU! ASANTE KWA KUONYESHA MOYO WA KUNISAIDIA NA PIA KUWA TAYARI KUTOA MSAADA, SAMAHANI LKN, WAKATI NASUBIRI MAJIBU NILIKOMAA KUENDELEA KULITAFUTA HATIMAYE NILILIPATA HIVYO NIKA-FLASH SIMU NIKO HEWANI ASANTE SANA KWA KUNIJALI, ILA BADO NATAFUTA FLASH FILE TA TIGO: Y3_PLUS-H721A2-KK-TZTG-LC-161010V2, PLEASE KAMA KUNA MTU ANALO. NAOMBA MSAADA!
Hii utasaidia wengi mkuu..big up
ROM vodafone vfd 301 | [Official]-[Updated] add the 10/03/2017 on Needrom
free no money no password VODAFONE V301 vodacom tanzania.
Enjoy guys!