Msaada wa Rufani Mahakama Kuu

Syston

JF-Expert Member
Nov 6, 2017
243
339
Habari wapendwa,

Naomba kuuliza mtu akikata rufaa kesi inasikilizwa upya au wanatumia maelezo ya hukumu ya mwanzo. Pia naomba kujua mamlaka ya mahakama ya wilaya inao uwezo kuhukumu kifungo cha juu miaka mingapi.
 
Ukikata rufaa kesi huwa haisikilizwi upya bali mahakama hujikita katika hukumu ya mahakama ya wilaya pamoja na hoja zako za rufaa.

Mahakama ya wilaya ina mamlaka ya kukufunga hadi miaka 30 mfano kosa kosa la ubakaji, miaka 14 katika kosa unyang'anyi wa kutumia silaha, n.k.
 
Back
Top Bottom