Suala si kujiunga tu na chuo; Kwani yeye anataka kuwa nani baadae?Nisaidie tumsaidie huyu kijana kufanya maombi ya kujiunga na chuo UDOM
1. Pass za kijana ni 13 III G studies D, Geogr D, Chemistry E , Biology D, BAM F
2. Kozi gani anaweza kusoma UDOM be it Degree or Diploma
Misitu bussiness...... anasema anapenda kusoma mambo ya misitu na nutrition. tatizo kwa pass hizo, zinamatch na requirement za admission? say UDOM, SUA, UDSM (najua ushindani ni mkubwa ka ufaulu wa mwaka huu).Suala si kujiunga tu na chuo; Kwani yeye anataka kuwa nani baadae?
Tuanzie hapo kwanza.
Umenena busara! Tatizo wako jeshi na deadline ni 4/8Aombe tu kozi zote ambazo atakuwa na vigezo navyo. Kwa UDOM na mchepuo wa jamaa kuna kozi kama ya Education kwenye masomo husika, kuna Biology, Chemistry na zingine… Ishu ni atulie tu na aisome prospectus kwa makini yaani asikurupuke ili apate atakachokithamini.
Arelax mkuu, hii kitu ya kurush huwa inasumbua sana wanafunzi vyuoni na wanashindwa kufanya vizuri au kudevelop career ipasavyo. Nenda nae taratibu jaribu kumsoma anahitaji kitu gani kimsaidie. Usitumie watu wamchagulie mkuu.Umenena busara! Tatizo wako jeshi na deadline ni 4/8
Nisaidie tumsaidie huyu kijana kufanya maombi ya kujiunga na chuo UDOM
1. Pass za kijana ni 13 III G studies D, Geogr D, Chemistry E , Biology D, BAM F
2. Kozi gani anaweza kusoma UDOM be it Degree or Diploma
Hivi huko jkt wanapata msada wowote kwenye hili la udahili na mikopo?Umenena busara! Tatizo wako jeshi na deadline ni 4/8
not at all!Hivi huko jkt wanapata msada wowote kwenye hili la udahili na mikopo?
perfectArelax mkuu, hii kitu ya kutush huwa inasumbua sana wanafunzi vyuoni na wanashindwa kufanya vizuri au kudevelop career ipasavyo. Nenda nae taratibu jaribu kumsoma anahitaji kitu gani kimsaidie. Usitume watu wamchagulie mkuu.
Wanapata mkuu.Hivi huko jkt wanapata msada wowote kwenye hili la udahili na mikopo?
Kwa ufaulu huo, minimum points 4.0 anazo katika masomo mawili - Biology & Geography kwa maana ya 2 D's.Misitu bussiness...... anasema anapenda kusoma mambo ya misitu na nutrition. tatizo kwa pass hizo, zinamatch na requirement za admission? say UDOM, SUA, UDSM (najua ushindani ni mkubwa ka ufaulu wa mwaka huu).
Tukianzia Diploma?
asante sana tena sana. Lakini kwa ufulu wa mwaka huu idhani kama ana power ya kushindana. let me do my homework with this guide book.Kwa ufaulu huo, minimum points 4.0 anazo katika masomo mawili - Biology & Geography kwa maana ya 2 D's.
Any way jaribu ku-down TCU - Bachelor's degree admission guidebook for 2023/24 academic year itakuongoza.
Mkuu hiyo TCU guidebook inaonyesha vyuo vyote 78 (university, college, non-university, university campus college...) vya Tanzania Bara & Visiwani - zikiwamo pia SUA & Mzumbe.asante sana tena sana. Lakini kwa ufulu wa mwaka huu idhani kama ana power ya kushindana. let me do my homework with this guide book.
tafadhali nisaidie tena guidebook ya SUA, Mzumbe
Hiyo ni TCU guide book ambayo inatoa muongozo wa course zote zinazotolewa nachuo husika katika ngazi ya degree hivyo nenda katika chuo husika angalia course husika na vigezo vyake.asante sana tena sana. Lakini kwa ufulu wa mwaka huu idhani kama ana power ya kushindana. let me do my homework with this guide book.
tafadhali nisaidie tena guidebook ya SUA, Mzumbe
Ubarikiwe sana.Hiyo ni TCU guide book ambayo inatoa muongozo wa course zote zinazotolewa nachuo husika katika ngazi ya degree hivyo nenda katika chuo husika angalia course husika na vigezo vyake.
no pressure katika uchaguzi maana hapo ndo kuna hatma ya atakachokisoma.
fanya research usihadaike na jina la course.
chuoni kuna kozi nyingine za ajabu sana.
nakutakia utekelezaji mwema
Well well!Hiyo ni TCU guide book ambayo inatoa muongozo wa course zote zinazotolewa nachuo husika katika ngazi ya degree hivyo nenda katika chuo husika angalia course husika na vigezo vyake.
no pressure katika uchaguzi maana hapo ndo kuna hatma ya atakachokisoma.
fanya research usihadaike na jina la course.
chuoni kuna kozi nyingine za ajabu sana.
nakutakia utekelezaji mwema
Well saidMkuu hiyo TCU guidebook inaonyesha vyuo vyote 78 (university, college, non-university, university campus college...) vya Tanzania Bara & Visiwani - zikiwamo pia SUA & Mzumbe.
Utaona pia degree programme, entry requirements, minimum admission points, admission capacity ya chuo n.k.
Angalia kwenye post yangu iliyopita nime-download TCU guidebook.
asante sana rafiki mwemaMkuu hiyo TCU guidebook inaonyesha vyuo vyote 78 (university, college, non-university, university campus college...) vya Tanzania Bara & Visiwani - zikiwamo pia SUA & Mzumbe.
Utaona pia degree programme, entry requirements, minimum admission points, admission capacity ya chuo n.k.
Angalia kwenye post yangu iliyopita nime-download TCU guidebook.
Thanks a lot!Kwa ufaulu huo, minimum points 4.0 anazo katika masomo mawili - Biology & Geography kwa maana ya 2 D's.
Any way jaribu ku-down TCU - Bachelor's degree admission guidebook for 2023/24 academic year itakuongoza.