Msaada wa power bank

Msaada wa power bank

ugido

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2014
Posts
421
Reaction score
104
Natanguliza shukran za dhati kwa wana jf kwasababu wananifanya na Mimi nijione naishi Tanzania yani huko daslam kwani Mimi naishi Tanganyika huku kigoma mwisho was reli. Shida yangu nataka nijue power bank yenye capacity ya 5200 naicharge kwenye umeme kwa mda gani ijae. Nsaidien wenye kujua
 
Nenda kwenye jukwaa la technolojia mkuu
 
Natanguliza shukran za dhati kwa wana jf kwasababu wananifanya na Mimi nijione naishi Tanzania yani huko daslam kwani Mimi naishi Tanganyika huku kigoma mwisho was reli. Shida yangu nataka nijue power bank yenye capacity ya 5200 naicharge kwenye umeme kwa mda gani ijae. Nsaidien wenye kujua

Ngoja nitakujibu saiv, nawasiliana na Eng. Wa tanesco
 
Natanguliza shukran za dhati kwa wana jf kwasababu wananifanya na Mimi nijione naishi Tanzania yani huko daslam kwani Mimi naishi Tanganyika huku kigoma mwisho was reli. Shida yangu nataka nijue power bank yenye capacity ya 5200 naicharge kwenye umeme kwa mda gani ijae. Nsaidien wenye kujua

Ok ananiuliza hiyo banker; system volt ni ngapi? na hiyo 5200 ni Ampere hour?
 
Out put 5v. In put 4.8

Yule Eng.wa Tanesco anasema bado unamchanganya output unasema ni 5v na input 4.8v, mara kuna ile 5200. Anakuuliza unaweza kutoa namba yako ya cm akupigie ili akusaidie? Maana ukichaji zaidi au kiasi unaweza kuiua hiyo banker yako
 
Nakuandikia kila kitu Chenye kimeandikwa iko hivi tecno model PB 52A, capacity 5200MAH. Inputc 4.8-5.4v max 1.5A , output 5v-...1A.
 
Ok ngoja nimtumie hizo data.
 
Kwa anayejua amsaidie basi sio kumzingua kama hujui si uupotezee tu huu Uzi
 
Nilitaka nimsaidie kwa kuwasiliana na watumiaji wenyewe wa hiyo power banker lazima apatiwe jibu kutoka kwa wataalam na tayari wapeshamwambia. Wewe power bank unaijua? Au uko bar, unajua aina zote za pombe.power bank ni mashine/mtambo unaotumika kupoteza/kuhifadhi umeme kama mahitaji yako wewe ni kidogo na uzalishaji wako wa umeme ni mkubwa.
 
Back
Top Bottom