Msaada wa Phone code ya sonny Ericssson W715

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
158
Wakuu wa jukwaa hilı natumaini wote ni wazima
ndugu zangu naombeni mwenye pincode za sonyericsson w715 anisaidıe,sımu nimeletewa kutoka Norway..
Nawasılısha.

pincode ya line yako au security code ya simu? default SonyEricsson security code ni '0000', jaribu hiyo kama haukuibadilisha mwanzo..

Mara nyingi zinakuwa ni: 8888 au 0000

pincode ya line yako au security code ya simu? default SonyEricsson security code ni '0000', jaribu hiyo kama haukuibadilisha mwanzo..

itakuwa nı securıty code kwasababu yenyewe ınaleta maneno ya lugha ya kwao kwahyo nıkahısı kama nı pıncode

Mkuu inawezekana pia ikawa locked kwa mtandao fulani wa huko ilikotoka, so utahitaji kui unlock.
kama vipi muulize vizuri aliekutumia

itakuwahvyo kaka maana hapa nikiweka line yeyote inagoma,kwahyo hapa mnanishauri nıka iflash au?

Mkuu mimi sio mtaalamu wa hii maneno lakini try to google how to unlock sonny ericsson w715, kisha tembela link mbali mbali unaweza kupata solution kabla ya kuwapelekea mafundi

Asanteni kwa ushauri nimeipeleka kwa fundi nikasaidiana naye within 8mìn kazi ikawa imekwisha

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom