Msaada wa pendekezo la course ya kusoma chuo kati ya hizi

Umuzukuru

JF-Expert Member
May 30, 2019
609
540
Habari wakuu,

Ngoja nisipoteze muda nahitaji msaada wa pendekezo la course ya kusoma chuo kati ya hizi zifuatazo:

1. BSc. Land management and valuation-Ardhi University

2. BA. Economics-Aru or Udsm

3. BSc. Accounting and Finance

4. Road and railway in logistics(Shipping operational road and railway in logistics)-NIT

NB: Dogo naona anaprefer zaidi course namba 1&4.

Kwahiyo naomba maoni yenu kijumla juu ya hizo koz wakuu

Nawasilisha
 
Habari wakuu
Ngoja nisipoteze muda nahitaji msaada wa pendekezo la course ya kusoma chuo kati ya hizi zifuatazo
1. BSc.Land management and valuation-Ardhi University
2.BA.Economics-Aru or Udsm
3.BSc.accounting and finance
4.Road and railway in logistics(Shipping operational road and railway in logistics)-NIT

Nb;dogo naona anaprefer zaidi course namba 1&4
Kwahiyo naomba maoni yenu kijumla juu ya hizo koz wakuu

Nawasilisha
 
asome hio sgr ndio sasa mpango wa bongo wanahitajika wakuitumia
 
Akasome uchumi lakini asiwe na kibri kama yule mchumi daraja la kwanza aliyetuhamishia burundi......
 
Habari wakuu,

Ngoja nisipoteze muda nahitaji msaada wa pendekezo la course ya kusoma chuo kati ya hizi zifuatazo
1. BSc.Land management and valuation-Ardhi University
2.BA.Economics-Aru or Udsm
3.BSc.accounting and finance
4.Road and railway in logistics(Shipping operational road and railway in logistics)-NIT

Nb;dogo naona anaprefer zaidi course namba 1&4.

Kwahiyo naomba maoni yenu kijumla juu ya hizo koz wakuu

Nawasilisha
Hivi kwann kila mtu anayeleta mada kama hizi anamsingizia ndugu yake! Mara mdogo wangu mara ndugu yangu! Hivi ukijitaja kwamba wewe ndio unaomba ushauri utakufa?
 
Back
Top Bottom