Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,279
- 44,416
Nimeona mpaka ka Nokia 1 kanapata.Jitahid mzee baba Nokia 6.1 ipo kwenye orodha ya simu watakazoziupdate to Android Q mwishoni mwa mwaka 2019
Nimeona mpaka ka Nokia 1 kanapata.Jitahid mzee baba Nokia 6.1 ipo kwenye orodha ya simu watakazoziupdate to Android Q mwishoni mwa mwaka 2019
Jitahid mzee baba Nokia 6.1 ipo kwenye orodha ya simu watakazoziupdate to Android Q mwishoni mwa mwaka 2019
Mkuu samahani, simu yangu( Nokia 6.1 plus) inasumbua charging system. Nimetega kwa vikaratasi Ila sasa imegoma kabisa na kuagiza online na corona hii nadhan kitafika mwakani. Kama kipo katika karakana yako au kuna sehemu naweza kupata hiyo system naomba tuwasiliane Pm.Nimeona mpaka ka Nokia 1 kanapata.
Hili tatzo wanalalamika sana watumiaji wa hizi nokiaMkuu samahani, simu yangu( Nokia 6.1 plus) inasumbua charging system. Nimetega kwa vikaratasi Ila sasa imegoma kabisa na kuagiza online na corona hii nadhan kitafika mwakani. Kama kipo katika karakana yako au kuna sehemu naweza kupata hiyo system naomba tuwasiliane Pm.
Sent from my TECNO CF7 using Tapatalk
Ni kweli mkuu shida imeanza mwezi baada ya warrant kuisha yani bonge LA mkosi.Hili tatzo wanalalamika sana watumiaji wa hizi nokia