Msaada wa Nokia 6.1 Sim Card Tray

Msaada wa Nokia 6.1 Sim Card Tray

Gushleviv

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
3,455
Reaction score
5,326
Habari wadau wa Jukwaa hili, natafuta "Sim Card Tray" ya simu hii aina ya Nokia 6.1. Kama kuna yeyote mwenye nayo au anielekeze kwa mtu ambaye anaweza kunisaidia tafadhali.

Natanguliza Shukrani zangu za dhati kwenu.
 
Aggrey umejaribu? Nyingi huwa zinaingiliana wanachomeka tu.
 
Tumejaribu kuchomeka vingine vinaingia ila line hazisomi..yaani hapa simu natumia whatsapp tu tena hadi niwe kwenye wi-fi
 
Mi natafuta ya s6 edge plus..moshi huku nimeambiwa 20000tsh hadi 25000tsh kutegemeana na duka nililoenda nikakimbia spid sana! Hlf fundi akiniwekea ni 25K so kweny mfuko wa shati niwe na 50000Tsh kama afya ya kazi!

Kuagiza online sitaki mana inaeza kufika mwezi wa 12 na huko online ni 6000-8000tsh.
 
Kueka tray na hela? Si unakichomeka tu mwenyewe? Bei zake zikizidi Sana Ni 10,000. Nilibadili ya Note 5 hata mwaka haujaisha.
 
Yangu imekatikia ndani kwa ndani hivyo kile kichwa chake cha juu ambacho unatumia pin ili kitoke hicho kidubwasha hakipo! So fundi anatakiwa afungue simu akitoe na kukivuta kwa kawaida haiwezekani mana ni kipande kidg sana kimeshikilia lain yan kile kipande cha mwsh kabsa!
 
Hapa sawa itakucost, maana simu za siku hizi inabidi uanze kutoa display kwanza kabla hujafikia ndani.
 
Kumbe!
Mana fundi hakunifananulia kwa kina ila aliniambia kukitoa kinahitaji akili sana mana atafungua simu..nikaondoka sababu ya gharama!
 
Agiza mtandaoni kama unaona vipi unakinunua halafu unatumia expedited shippig au DHL kama unaharaka sana
 
Kweli kabisa....na hasa akikutana na simu ambayo ina strong adhesive glue inakua changamoto kidogo!
Hapa sawa itakucost, maana simu za siku hizi inabidi uanze kutoa display kwanza kabla hujafikia ndani.
 
Jitahid mzee baba Nokia 6.1 ipo kwenye orodha ya simu watakazoziupdate to Android Q mwishoni mwa mwaka 2019
 
Pambana aggrey huwez kosa..anza chocho to chocho Aggrey hii hii ukose hako ka tray? yawezekana lakini maana bado hizo simu zipo mikononi mwa watu raia hawaajanza zi pack.. mile age ya hzo simu wengi bado mbichi kbsa so zinadunda.

Tray za simu zenye mileage za mtoto wa standard 3 ndio zmejazana,hizo unagusa tu maana nyingi znaingiliana kwanza....Hapo nakushauri kama una ki tray kile cha mwanzo kilichoharibika kiangalie kimekaaje then chukua hicho unachosema kinaingia ila laini hazsomi..kuna jinsi itakubd ukifanyie ma ujanja line zisome..KUWA MWANGALIFU usije acha laini ndani ya simu kama MODERM ZA ZANTEL.
 
Back
Top Bottom