Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,250
- 2,162
Vi
vipi mkuu hata kinyume chake inawezekana from tanzania to uk?
Hapana haiwezekani mkuuu....
Vi
vipi mkuu hata kinyume chake inawezekana from tanzania to uk?
Asante mkuu ..kwenye kutoa haisumbua au kuna kuwa na taratibu za kuitoa endapo huyo mtu atanitumia?Mwambie akutumie kwa njia ya world remit pesa inaingia kwenye akainti yako simu
Mkuu Wordremit iko good sana u will receive your money within a fraction of second Mimi nina Experience nayo, Wave pia iko good kama mtu yuko USAsante mkuu ..kwenye kutoa haisumbua au kuna kuwa na taratibu za kuitoa endapo huyo mtu atanitumia?
Asante sana maana nimeshtushwa na zile transaction number kuwa zaidi ya nane(8) ndio maana nikauliza ivyoMkuu Wordremit iko good sana u will receive your money within a fraction of second Mimi nina Experience nayo, Wave pia iko good kama mtu yuko US
Hela itaingia normal kabisa na you can withdraw it from any Agent, Wave ni mpesa tu na Wordremit ni mitandao almost yote
Kwahiyo mazee iyo kitu lazima uwe UK, ao US?? mtu akiwa Africa kumtumia mwengine wa Africa haiwezekani. Na vipi kwa pesa nyingi kidogo inafika?? Kama 5000$Nadhanu mwenzangu umeitumia hii service me naipenda na naitumia muda wote na kila siku na sijawahi kupoteza hela hata siku moja