MSAADA WA MOJA KWA MOJA UNAHITAJIKA

MSAADA WA MOJA KWA MOJA UNAHITAJIKA

Toofast

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2015
Posts
546
Reaction score
1,003
Habari zenu,naomba niende moja kwa moja kwenye mada, siku tano zilizopita nilinunua smart TV Aina ya HOMEBASE inchi 43 Kama ilivyokawaida smart TV nyingi Zina receiver.
Sasa shida yangu ni kwamba ukisearch stesheni kupitia Hy receiver Kuna option nyingi kama ya location uliyopo mf tz na Kama unatumia antenna,cable au satellite

Kiukweli kwa kuwa ninayo antenna niliconnect wire wa antenna kwenye tv na nikasachi stesheni na nikafanikiwa kupata stesheni baadhi nyingi ni za tz mf eatv,itv,tv1,uhai tvn.k
Sasa hamu yangu kubwa nikujua je naweza kutumia dish ,maana madish kuconnect na tv yanatumia lnb na kwenye tv hamna ,pale Kuna RF(S2) na je hii RF(S2) ni nini

MSAADA jamani kwa mwenye uelewa
Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Home base ume wrong number kamanda nakuonea huruma sana. Kama hutaki longo longo kwenye hivi tv hasa smart tvs nunua brand kubwa huwa hawakosei. Samsung, lg full stop sanasana Samsung

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HOMEBASE cy kampuni mbaya wanajitahiti nao kutoa vitu bora,natumia hata Friji la HOMEBASE mwaka wa tatu huu Bila shida yoyote
Home base ume wrong number kamanda nakuonea huruma sana. Kama hutaki longo longo kwenye hivi tv hasa smart tvs nunua brand kubwa huwa hawakosei. Samsung, lg full stop sanasana Samsung

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu vp kuhusu iyo RF(S2) je una idea nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano sasa hivi Samsung wana tv zinazoitwa satellite tvs, means that tv kama tv ina kingamuzi ndani kwa ndani unaweka antena nje then una serch channels na unazipata bila decoder inaitwa digtal tv vile vile ina sehem ya dish yaani unaweka dish kwa nje then unachomeka kile kichwa moja kwa moja kwenye tv bila decoder yake then unapata channels

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee ndo nilionunua inshort Zina receiver ambayo waweza kutumia kwa cable,antenna au satelite
Kwa mfano sasa hivi Samsung wana tv zinazoitwa satellite tvs, means that tv kama tv ina kingamuzi ndani kwa ndani unaweka antena nje then una serch channels na unazipata bila decoder inaitwa digtal tv vile vile ina sehem ya dish yaani unaweka dish kwa nje then unachomeka kile kichwa moja kwa moja kwenye tv bila decoder yake then unapata channels

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu,naomba niende moja kwa moja kwenye mada, siku tano zilizopita nilinunua smart TV Aina ya HOMEBASE inchi 43 Kama ilivyokawaida smart TV nyingi Zina receiver.
Sasa shida yangu ni kwamba ukisearch stesheni kupitia Hy receiver Kuna option nyingi kama ya location uliyopo mf tz na Kama unatumia antenna,cable au satellite

Kiukweli kwa kuwa ninayo antenna niliconnect wire wa antenna kwenye tv na nikasachi stesheni na nikafanikiwa kupata stesheni baadhi nyingi ni za tz mf eatv,itv,tv1,uhai tvn.k
Sasa hamu yangu kubwa nikujua je naweza kutumia dish ,maana madish kuconnect na tv yanatumia lnb na kwenye tv hamna ,pale Kuna RF(S2) na je hii RF(S2) ni nini

MSAADA jamani kwa mwenye uelewa
Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uzoefu wangu, RF (S2) ni sehemu ya kuingizia waya antenna/cable tv. Hizo tv smart hazina uwezo wa kudaka mawimbi ya dish, we nunua king'amuzi tu ukitaka kuangalia channel za kwenye madish.
 
Lakini sehemu ya kuingizia waya wa antenna ipo pia Tena imefatana na Rf(S2)
Kwa uzoefu wangu, RF (S2) ni sehemu ya kuingizia waya antenna/cable tv. Hizo tv smart hazina uwezo wa kudaka mawimbi ya dish, we nunua king'amuzi tu ukitaka kuangalia channel za kwenye madish.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uzoefu wangu, RF (S2) ni sehemu ya kuingizia waya antenna/cable tv. Hizo tv smart hazina uwezo wa kudaka mawimbi ya dish, we nunua king'amuzi tu ukitaka kuangalia channel za kwenye madish.
Ukizoom unaweza ona mkuu
IMG_20190312_061312.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom