data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,943
- 23,883
hahhaaaahahahaaaa.......... uongo mpaka anajikwaaa ulimi.
Ahsante!
Ahsante!
Kwahiyo ukalazimishwa na wewe ukakubali kuoa? Unasema unapenda vitu white sasa huyo black ulianzaje kudate nae mpaka ukampa tumbo? Unadai unapenda madem wenye mizigo, sasa huyo kimbaumbau ulimvuaje nguo mpaka ukampa mimba?
Bro acha kujitoa ufahamu. Ishakuwa ndo imekuwa, Kikristo hatuoi wake wengi, wala hatutaliki ovyo. Ukiona vipi kama mfuko unaruhusu, weka nyumba ndogo mwenye vigezo unavyotaka. KALAGABAHO!!!!!!!