msaada wa mawazo

msaada wa mawazo

mungu WangU...hadi roho imeniuma...huyo mwanamke nae anahesabu yupo kwenye ndoa dooh.... OMG..ningekuwa ni mimi nakuua...God will understand...
 
Ulimpaje mimba kama unapenda white? Mlitumia 802.11 nini?
 
Hapo ndio kwsha hbr yako... Kubali yote, mengne yaache yapita hayakusaidii kitu tn kwa sasa. Eti napenda white!, muda uliokuwa unambinua binua hukuuona huo weus, leo ndio unaouona!! Kubaliana na hali na pia ukue asa hv. upo kweny ndoa tyr
 
mi ni mwanaume mwenye miaka 28.nimeoa mwaka jana na ni kwa shinikizo la wazazi wake hyo ni baada ya kumpa mimba..so nikawa cna jins ckumpenda kivile coz yeye ni black sasa tatizo langu napenda white...na mzigo nyuma...nipo kwenye ndoa lakn kila nikimwona ke white..namtaman....sasa nifantaje cmtaki na tulifunga ndoa ya kikristo

mbona cosmetic zipo mpe hela tu anakuwa mweupeeee fastaa kama sufiiii
 
mi ni mwanaume mwenye miaka 28.nimeoa mwaka jana na ni kwa shinikizo la wazazi wake hyo ni baada ya kumpa mimba..so nikawa cna jins ckumpenda kivile coz yeye ni black sasa tatizo langu napenda white...na mzigo nyuma...nipo kwenye ndoa lakn kila nikimwona ke white..namtaman....sasa nifantaje cmtaki na tulifunga ndoa ya kikristo
Khaa!! Mpeleke kuwa wachina wanambadilisha fasta hadi utatamani umuoe tena
 
Ulimuona mara ya kwanza, pengine mara ya pili na zaidi binti akiwa mweusi tii kama ngozi ya goti...

Ukamfukuzia huyo binti na hatimaye kumtongoza baada ya kumkagua vyema na kumuona ana bambataa la kutosha...

Ukatafuta chumba cha kwenda kuchinja mawindo yako, na vile dudu haina mabega ukaizamisha chubwiiii katika kipochi manyoya chake...

Utamu ulipokolea, ukamwaga tena huku ukipayuka mikelele ya utamu na si ajabu ukisifia uzuri wa ngozi yake...

Hamadi Mungu si mzee Mkumba baada ya mwezi binti kakutonya kuwa kazi mliyoifanya imezaa matunda na ana ujauzito...

Hapa ndipo kifaruhande wewe usiye na haya ulipoanza kupandwa na ruhani mkuu, ghafla bin vuu ukaanza kumuona binti wa watu kakauka kama meza ya kamari na ngoziye ukaiona chafu kama karai la muuza chips...

Hivi kijana kasoro zote hizi hukuziona muda wote wakati dudu yako ikihaha kutaka kupekenyua kidimbwi utamu cha huyo binti?

Wana watoka pabaya kama ninyi ndio mnaowaharibia dada zetu na zaidi kutufanya sisi wanaume wote tuonekane wanaizaya...

Eti sasa waanza jifaragua wapenda white, haya hebu funga safari wafuate huko Ulaya kama jeuri hiyo unayo...

Wanaume wengine sijui mmejambwa....khaaa!!!
 
mi ni mwanaume mwenye miaka 28.nimeoa mwaka jana na ni kwa shinikizo la wazazi wake hyo ni baada ya kumpa mimba..so nikawa cna jins ckumpenda kivile coz yeye ni black sasa tatizo langu napenda white...na mzigo nyuma...nipo kwenye ndoa lakn kila nikimwona ke white..namtaman....sasa nifantaje cmtaki na tulifunga ndoa ya kikristo
Yaani wewe Ilambo (Bwawa) hujaacha kasumba za Babu zako, za kupenda wanawake weupe?. Lekaga shi nang'o!.
 
mi ni mwanaume mwenye miaka 28.nimeoa mwaka jana na ni kwa shinikizo la wazazi wake hyo ni baada ya kumpa mimba..so nikawa cna jins ckumpenda kivile coz yeye ni black sasa tatizo langu napenda white...na mzigo nyuma...nipo kwenye ndoa lakn kila nikimwona ke white..namtaman....sasa nifantaje cmtaki na tulifunga ndoa ya kikristo

Hivi ulitoka lini milembe, ule ugonjwa nafikiri bado hujapona sawasawa...rudi hospitalini
 
mi ni mwanaume mwenye miaka 28.nimeoa mwaka jana na ni kwa shinikizo la wazazi wake hyo ni baada ya kumpa mimba..so nikawa cna jins ckumpenda kivile coz yeye ni black sasa tatizo langu napenda white...na mzigo nyuma...nipo kwenye ndoa lakn kila nikimwona ke white..namtaman....sasa nifantaje cmtaki na tulifunga ndoa ya kikristo

Huyo Ulyeoa Ndo Chaguo Lako Haijalsh Kwa Kulazmishwa O What,kama Unapenda White Ilkuaje Ukatmbea Na Black Ad Kumpatia Mimba?
 
wakati anamlala alimuona mweupe...wakati anamtongoza sijui alifumba macho"! anajishaua hapa hamtaki

ndo ishakua ishakua
 
dada wa watu mpaka umempa mimba unasema hauko interest ???? nyie ndio waharibifu tena wewe ni mpumbavu kweli
 
Acha ujinga wanaume wengine mnakera sana. Ilikuwaje ukasex na mtu mweusi usiempenda au uliona k imeanikwa kama unga ukachomeka lazima ulianza kumtongoza.
 
mi ni mwanaume mwenye miaka 28.nimeoa mwaka jana na ni kwa shinikizo la wazazi wake hyo ni baada ya kumpa mimba..so nikawa cna jins ckumpenda kivile coz yeye ni black sasa tatizo langu napenda white...na mzigo nyuma...nipo kwenye ndoa lakn kila nikimwona ke white..namtaman....sasa nifantaje cmtaki na tulifunga ndoa ya kikristo

Hapo ulipoandika ww ni mwanaume edit maana inaonyesha bdo huna akili kama mwanaume.
 
mtu unapoamua kuingia kwenye ndoa ushajipima,maana mitihani umeipita na umefaulu ila kama ulitazamia imekula kwakoo....ndo nyie wanawake wanawabebeshaga lawama mpaka uanjikuta hufanikiwi tena katika maisha yako.
 
mi ni mwanaume mwenye miaka 28.nimeoa mwaka jana na ni kwa shinikizo la wazazi wake hyo ni baada ya kumpa mimba..so nikawa cna jins ckumpenda kivile coz yeye ni black sasa tatizo langu napenda white...na mzigo nyuma...nipo kwenye ndoa lakn kila nikimwona ke white..namtaman....sasa nifantaje cmtaki na tulifunga ndoa ya kikristo

1. Unajuaje kama hiyo mimba ni yako?
2. Hakuna mwanaume mwenye uwezo wa kumpa mwanamke mimba..ukiona mwanamke ana mimba ujue ametaka mwenyewe...so kubali kuwa ulichomekewa mzigo
 
mi ni mwanaume mwenye miaka 28.nimeoa mwaka jana na ni kwa shinikizo la wazazi wake hyo ni baada ya kumpa mimba..so nikawa cna jins ckumpenda kivile coz yeye ni black sasa tatizo langu napenda white...na mzigo nyuma...nipo kwenye ndoa lakn kila nikimwona ke white..namtaman....sasa nifantaje cmtaki na tulifunga ndoa ya kikristo

Rangi ndiyo inakuchanganya,baada ya genye kupungua. Vumilia ndo ujue kuna tofauti kati ya kupenda na kutamani.
Subiri mpaka kifo kiwatenganishe.:juggle:
 
Tulia na ulienae.

Wazazi wako wana sababu zao na bila shaka walichunguza na kuijua familia ya mkeo
 
Kwani ulioikuw unamtongoz HDi kumvua nguo mpaka mimba hukumuon kam mweusi na hana vigezo uvitakavyo hebu achen kutuharibia maisha. Na cku Ya kuoa ulishikiwa panga? Pôle yako tena ndoa Ya kanisani imekula kwako!!!
 
Back
Top Bottom