msaada wa mawazo

msaada wa mawazo

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
89
mi ni mwanaume mwenye miaka 28.nimeoa mwaka jana na ni kwa shinikizo la wazazi wake hyo ni baada ya kumpa mimba..so nikawa cna jins ckumpenda kivile coz yeye ni black sasa tatizo langu napenda white...na mzigo nyuma...nipo kwenye ndoa lakn kila nikimwona ke white..namtaman....sasa nifantaje cmtaki na tulifunga ndoa ya kikristo
 
Kuwa mpole kama mzee wa upako yaani kuwa mlokole
 
mi ni mwanaume mwenye miaka 28.nimeoa mwaka jana na ni kwa shinikizo la wazazi wake hyo ni baada ya kumpa mimba..so nikawa cna jins ckumpenda kivile coz yeye ni black sasa tatizo langu napenda white...na mzigo nyuma...nipo kwenye ndoa lakn kila nikimwona ke white..namtaman....sasa nifantaje cmtaki na tulifunga ndoa ya kikristo

Kwahiyo ukalazimishwa na wewe ukakubali kuoa? Unasema unapenda vitu white sasa huyo black ulianzaje kudate nae mpaka ukampa tumbo? Unadai unapenda madem wenye mizigo, sasa huyo kimbaumbau ulimvuaje nguo mpaka ukampa mimba?

Bro acha kujitoa ufahamu. Ishakuwa ndo imekuwa, Kikristo hatuoi wake wengi, wala hatutaliki ovyo. Ukiona vipi kama mfuko unaruhusu, weka nyumba ndogo mwenye vigezo unavyotaka. KALAGABAHO!!!!!!!
 
mamaaaae hii pasaka inataka kuharibika.
 
kulikuwa a mambo mengi sana yalinilazimu kwa usalama wangu
 
Tafuta pepsi baridi kabisa ndo dawa yake
 
naona nichepuke tu..kuridhisha nafsi
 
Walishinikizaje????

Walikushikia bastola???

Mpaka unamtongoza, unamvua nguo, unaingiza dudu yako, unamwaga hukujua kama ni black na hana makalio makubwa?????


Tamaa tu inakusumbuo


Mfyuuuuuu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kunywa Muarobaini unasaidia sana watu wenye matatizo kama hayo....
 
Mawazo yetu ni kukaa na mkeo kwa amani na upendo coz ulimpa ujauzito kha khiyari yako kwa hiyo ni mzigo wako huo utaenda nao golgotha.
 
Tulia na ndoa yako,acha kujitoa fahamu,shit...!
 
Acha dharau, kwani huyo mpaka unampa mimba ulikuwa umefunga macho. Vuna ulichopanda, tamaa zako ndiyo zimekufikisha hapo. Tulia na mkeo, mpende, muheshimu na mtunze mpaka kifo kitakapowatenganisha. Safi sana walivyokupa mke kinguvu.
 
Acha ujinga na upumbavu wewe kwani mbona ulikubali kufanya naye tendo la ndo bila ya kumpenda toka moyoni mwako?Acha utoto mke ni mke kwani rangi nini?Hasa ktk maisha ya maisha ya ndoa?Komaa naye huyo ndo wife wako acha ujinga
 
Mpeleke waist gang society lazima atapata mzigo mkubwa,colour andaa usd 7,000 umbleach....
Mtengeneze unavyotaka huyo ndo wako....
Mfyuuuui genye tu zinakusumbua
 
Back
Top Bottom