Ngwananzengo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,911
- 1,320
Kama moyo unakuuma ni Ishara ya kupenda, piga hatua moja mbele uchukue jumla.
nachotaka mie najua..nataka tuwe tunato.mbana sisi tuu bila serious relationship
Nishaurini nifanye nini jamani.
Hii si Wizara wala jukwaa la mambo ya uzinzi wala wazinzi...
Hivyo hakuna ushauri wowote tutakaokupa zaidi ya kukwambia acha dhambi eeh mwanadamu...
Unampenda..
^^
Habari zenu wana MMU
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nilikutana na mwanamke mmoja katika moja ya mitandao ya kijamii.
Baada ya kubadilishana namba tukaanza mawasiliano ya mara kwa mara na hatimaye chat zetu zikawa mambo ya mapenzi.
Tulielezana ukweli kwamba wote tupo single na pia kuwa mie sina nia ya uhusiano wa kufika kwenye ndoa, yaani tuwe friends with benefits, kwa bahati nzuri bidada akanielewa na tukala raha pamoja.
Kiukweli bidada mambo anayajua na nilienjoy sana.
Ilifika wakati bidada akawa anasema nakupenda na mbona wewe huonyeshi dalili za kunipenda na mie naumia ila kwa kuwa tulikubaliana tuwe friends with benefits basi tuendelee tuu.
Basi tukawa tunapeana mambo ila ilifika wakati mie nikawa kama nampotezea maana kwa kiasi fulani ile yeye kunitamkia i love u alafu mie naishia kusema thank you ilikuwa inanipa wakati mgumu.
Sasa majuzi nikakutana nae kwenye kiouting cha pamoja na katika mazungumzo sii ndio akaniambia kuwa wewe umenichunia so mie nimeenda tafuta raha kwa mwanaume mwengine ila akawa anasema kuwa huyo jamaa hakumridhisha.
Sasa sijui kwa nini lakini mie nimeumia moyo sana kutokana na yeye kuniambia kuwa amesex na mwanaume mwengine even though tulikubaliana kuwa we just frends with benefits.
Yaani nashindwa kulala ata kula sina hamu basi nabaki nawaza tuu jinsi yale maujanja aliyonipa mie kuwa amempa mwanaume mwengine.
Naogopa kumwambia kuwa nimeumia maana ataniona kuwa nimeshindwa kubakia katika friends with benefits.
Nishaurini nifanye nini jamani.
Hahahaaaaa! Vijana na nyie! Inaitwa WIVU SINA ILA ROHO INANIUMAAAAAAA!
Nakushauri tu katika maisha yako DONT BE TOO PROUD AND TAKE PEOPLE FOR GRANTED! Hapo wewe you are just being proud! wenzio anakupenda na kajitahidi kweli kujishushaaa ila kaa ukijua iko siku atachoka kukulamba makalio na kwenda sehemu ingine kuolewa kabisaaaa! Na wewe utabakia kungaaa sharubu na kujutia Kingi ulilo jipiga! YOU DONT KNOW WHAT YOU HAVE TILL YOU NO LONGER HAVE IT!
Just one more thing!
IN THIS LIFE WE GET FEW CHANCES, IF YOU DONT GRAB THOSE CHANCES BY THE BALLS YOU WILL END UP WONDERING HOW YOU BECAME SECOND RATED!
kutombe.wa inauma jamani
Habari zenu wana
MMU
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nilikutana na mwanamke mmoja katika moja ya mitandao ya kijamii.
Baada ya kubadilishana namba tukaanza mawasiliano ya mara kwa mara na
hatimaye chat zetu zikawa mambo ya mapenzi.
Tulielezana ukweli kwamba wote tupo single na pia kuwa mie sina nia ya
uhusiano wa kufika kwenye ndoa, yaani tuwe friends with benefits, kwa
bahati nzuri bidada akanielewa na tukala raha pamoja.
Kiukweli bidada mambo anayajua na nilienjoy sana.
Ilifika wakati bidada akawa anasema nakupenda na mbona wewe huonyeshi
dalili za kunipenda na mie naumia ila kwa kuwa tulikubaliana tuwe
friends with benefits basi tuendelee tuu.
Basi tukawa tunapeana mambo ila ilifika wakati mie nikawa kama
nampotezea maana kwa kiasi fulani ile yeye kunitamkia i love u alafu mie
naishia kusema thank you ilikuwa inanipa wakati mgumu.
Sasa majuzi nikakutana nae kwenye kiouting cha pamoja na katika
mazungumzo sii ndio akaniambia kuwa wewe umenichunia so mie nimeenda
tafuta raha kwa mwanaume mwengine ila akawa anasema kuwa huyo jamaa
hakumridhisha.
Sasa sijui kwa nini lakini mie nimeumia moyo sana kutokana na yeye
kuniambia kuwa amesex na mwanaume mwengine even though tulikubaliana
kuwa we just frends with benefits.
Yaani nashindwa kulala ata kula sina hamu basi nabaki nawaza tuu jinsi
yale maujanja aliyonipa mie kuwa amempa mwanaume mwengine.
Naogopa kumwambia kuwa nimeumia maana ataniona kuwa nimeshindwa kubakia
katika friends with benefits.
Nishaurini nifanye nini jamani.
sasa nitaanzaje kumwambia kuwa nampenda na yeye kaniambia kuwa love yake kwangu imekwisha?