Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,367
Wewe hujui unachotaka. Na offcourse huyo mwana mke ni mjanja sana. Amekuzidi ujanja. Take care
haswaaa,,,, bila shaka
Wewe hujui unachotaka. Na offcourse huyo mwana mke ni mjanja sana. Amekuzidi ujanja. Take care
Kwaiyo kila anaekoment uzi wako umem pm kumwambia inakuuma embu acha utoto na pm zako za kijinga unaniambia mm ili nfanyeje
Kwaiyo kila anaekoment uzi wako umem pm kumwambia inakuuma embu acha utoto na pm zako za kijinga unaniambia mm ili nfanyeje
Nawewe kwanini umjibu hapa badala ya pm?
Heshimu mkataba.
Wewe hujui unachotaka. Na offcourse huyo mwana mke ni mjanja sana. Amekuzidi ujanja. Take care
Hahahaaaaa! Vijana na nyie! Inaitwa WIVU SINA ILA ROHO INANIUMAAAAAAA!
Nakushauri tu katika maisha yako DONT BE TOO PROUD AND TAKE PEOPLE FOR GRANTED! Hapo wewe you are just being proud! wenzio anakupenda na kajitahidi kweli kujishushaaa ila kaa ukijua iko siku atachoka kukulamba makalio na kwenda sehemu ingine kuolewa kabisaaaa! Na wewe utabakia kungaaa sharubu na kujutia Kingi ulilo jipiga! YOU DONT KNOW WHAT YOU HAVE TILL YOU NO LONGER HAVE IT!
Just one more thing!
IN THIS LIFE WE GET FEW CHANCES, IF YOU DONT GRAB THOSE CHANCES BY THE BALLS YOU WILL END UP WONDERING HOW YOU BECAME SECOND RATED!
jamamni mie naumia mbona hamnipozi majonzi yote haya. ndio najua kuwa tulikubaliana kuwa frend with benefits lakini kwa nini yeye akatom.bwe na mwanaume mwengine wakati mie nilikuwa namkuna vizuri.....jamani naumia mie sasa sijui nifanyaje
Toka lini friends with benefit ukato.m*a mwenyewe? Endelea tu kuumia ni uamuzi uliouchukua mwenyeww
Uamue kumpa moyo wako...
Au ubebe maumivu tu
Habari zenu wana MMU
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nilikutana na mwanamke mmoja katika moja ya mitandao ya kijamii.
Baada ya kubadilishana namba tukaanza mawasiliano ya mara kwa mara na hatimaye chat zetu zikawa mambo ya mapenzi.
Tulielezana ukweli kwamba wote tupo single na pia kuwa mie sina nia ya uhusiano wa kufika kwenye ndoa, yaani tuwe friends with benefits, kwa bahati nzuri bidada akanielewa na tukala raha pamoja.
Kiukweli bidada mambo anayajua na nilienjoy sana.
Ilifika wakati bidada akawa anasema nakupenda na mbona wewe huonyeshi dalili za kunipenda na mie naumia ila kwa kuwa tulikubaliana tuwe friends with benefits basi tuendelee tuu.
Basi tukawa tunapeana mambo ila ilifika wakati mie nikawa kama nampotezea maana kwa kiasi fulani ile yeye kunitamkia i love u alafu mie naishia kusema thank you ilikuwa inanipa wakati mgumu.
Sasa majuzi nikakutana nae kwenye kiouting cha pamoja na katika mazungumzo sii ndio akaniambia kuwa wewe umenichunia so mie nimeenda tafuta raha kwa mwanaume mwengine ila akawa anasema kuwa huyo jamaa hakumridhisha.
Sasa sijui kwa nini lakini mie nimeumia moyo sana kutokana na yeye kuniambia kuwa amesex na mwanaume mwengine even though tulikubaliana kuwa we just frends with benefits.
Yaani nashindwa kulala ata kula sina hamu basi nabaki nawaza tuu jinsi yale maujanja aliyonipa mie kuwa amempa mwanaume mwengine.
Naogopa kumwambia kuwa nimeumia maana ataniona kuwa nimeshindwa kubakia katika friends with benefits.
Nishaurini nifanye nini jamani.
Hiziii bahatii mbonaa hazijii hapaaa nilipooo mm .uguaa polee bro wivu ni kidonda ukishiriki .........,,,,??
Wewe hujui unachotaka. Na offcourse huyo mwana mke ni mjanja sana. Amekuzidi ujanja. Take care
mkuu huna tu appetite ya kula ila njaa ikiuma utakula hilo sina wasiwasi kuhusu kulala hujapata usingizi