Nyaubikra
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 1,706
- 4,109
Me nikisema kesho naoa hata nikiwa sina suti ntavaa hata jeans nioe mana mda ni mchache.Kijana naona anambwela
We hujaenda hata nchi kumi duniani then unamsikiliza mwanamke.

Utumbo mtupu 😄😄😄Me nikisema kesho naoa hata nikiwa sina suti ntavaa hata jeans nioe mana mda ni mchache.