Isumbwile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 801
- 362
Habari zenu wadau
Nina rafiki yangu amekuwa anajitolea kwa muda wa 5 months now kwenye benki moja hapa dsm baadaya ya kutafuta kazi na kukosa. Hivi karibuni wameitwa kwenye interview na hiyo benki baadaya kutoa nafasi za kazi,sasa tatizo ni kwamba wakati anaomba kujitolea alipeleka vyeti vya bachelor lakini alikuwa hana cpa na hivi juzi matokeo yametoka na amefanikiwa kupata CPA,sasa anajiuliza apresent vyeti vya CPA ili aweze kubargain mshahara mzuri au akae kimya halafu awasilishe hivyo vyeti baada ya kuajiriwa
Jamani great thinkers, afanyeje huyu mdau ili niweze kumpa ushauri mzuri? :confused2: