Waungwana,my young sister kachaguliwa coz inaitwa bachelor in economics and finance kwenye chuo IAA,nimejaribu kuulzia kwa wa2 wanasema hyo coz hapa tanzania ni mpya.kuna yeyote anae weza niambia juu ya soko lake la ajira au nimshauri akaibadilishe?
Asome tu cha muhimu afanye vizuri, afta ol anasoma coz mbili at the same tym sasa wasiwasi wa nn. Eco ikisumbua anaomba kazi za finance. IAA ni chuo kizuri yy akatafute GPA tu na si mambo mengine bila GPA kazi zitasumbua kaka.
<font size="3">mkuu ka sikosei juzi tu umesema upo udom kwenye sup............na siredi yako uliandika headin ya SUP,haya kwakua umesema mwenyewe basi sawa</font>
Hakuna chuo wanachoanzisha cozi bila kufanya utafiti wa soko la ajira. Mwambie aende, hilo unalofanyia utafiti kwa sasa si muda muafaka tena, angefanyia utafiti kabla ya ku apply.