Naomba msaada wa mawazo kama nitaweza kupata ajira

slmmfm

JF-Expert Member
Aug 14, 2014
304
65
Nimemaliza kidato cha sita PCM mwaka 2014 matokeo ni DDE.
Sio kesi xana nime aply TCU coz za education kwenye vyuo vitano vikiwemo vya private viwili.

Shida ni kwamba ata nikipata chuo nikapiga hyo education, kwa hayo matokeo nitapata ajira??

Au niachane na bachelor nikapige diploma ya education maana niliomba special program ya education UDOM na uwakika wa kupata ni mkubwa japo selection hazjatoka
SITAKI DHARAU KWENYE COMET, KAMA HUNA CHAKUNISHAURI KAA KIMYA.
Welcome
 
awwww utapata mwaya wee tena una physics ashhh yan tena na chemistry tena kama ndo ukienda kufundishwa kondoa kwetu unapewa na nyumba kabsaaa
 
tcu ndo msemakweli kuwa na subira hakuna ushauri utakaokusaidia hapa
 
Wasiwasi wang ni kwamba atanikipata, kwahayo matokeo naweza kupata ajira?
 
Back
Top Bottom