Msaada wa mawazo waugwana pls naomba ushauri Nipo njia Panda kabisa

mzee wa giningi

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
519
336
Wasomi naomba mnishauri plz Kati ya hizi kozi ipi ni nzuri nisome kwa lengo la kujiajiri Au kuajiriwa? Nahitaji mchango wa mawazo yenu waungwana plz.

01. Bachelor of law
02: bachelor of social work
03: bachelor of arts in social psychology
03: bachelor of art in mass communication
04: bachelor of community economic development
05: bachelor of arts in natural resources management
06: bachelor of art in public administration
07:bachor of library information management


Naomba pls mnishauri nikasome kozi ipi ndugu yenu pls nawategemea kimawazo
 
Inaonekana selection yako imebase kwenye chuo kimoja. Angalia vyuo vingine unaweza pata course ambazo zitakusaidia kujiajili hata usipoajiliwa.

Akili za form six bhana mnazijua wenyewe tu.
 
we una malengo ya kuwa nani
unaweza ukawa na malengo ya kuwa mwanasheria lakini una fursa nying kufanya biashara so lengo si shule hizo ni outcomes tu mifano ming cc dr kigwangala lengo doctor lakin leo mwanasiasa
 
Mimi nimegraduate 2008 na nimeajiriwa serikalini. Position yangu inanipa zaidi ya 2.8 m. Lakini kwa sasa sikushauri usome kozi yoyote kati ya hizo. Ni bora utafute mtaji uanze biashara kuliko kupoteza miaka mitatu na ukaanza kutembeza bahasha kuomba kazi
 
Me hapa nawaza ingawaje hme wamekomaa niende chuo ila najua kitakachonikuta, nataman hata nisome diploma ICT tatizo advance Nilisoma arts
 
Back
Top Bottom