Msaada wa mawazo na utalaamu tcu yanipa kichaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa mawazo na utalaamu tcu yanipa kichaaa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kinota, Jul 3, 2012.

 1. k

  kinota Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mwanzoni kozi 6 zilikuwa eligible na 2 not eligible ,jana nikazipanga vizuri laa ajabu hata zilizo kuwa eligible zikaja not ligible mpaka hiv napo omba msada hali iko hivyo.NIFANYEJE MWENZENU?
   
 2. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  unangapi jombaa...?
   
 3. k

  kinota Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nina 15 pcm
   
 4. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mdogo wangu jana hajala kabisa tumekesha usiku mpaka ikakubali ushauri wangu embu jaribu usiku saa 7 au 8 na hakika itakubali
   
 5. It is Sur_Plus

  It is Sur_Plus Senior Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata uwe na point 5,6,7,9 hawa jamaa ni wa sumbufu na hyo system yao mwaka jana watu walikua na pointi nzuri sana buti walifanya application hadi 4th round, chakufanya komaa nao ikiwezekana wafuate
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  tatizo nyie madogo nao mna viherehere,kutwa mko bize kubadili programs,ridhiken na zile mnazokua mmeambiwa eligible
   
 7. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,288
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  mbona kawaida 2 kaka, kuna sehemu imeandikwa CLICK HERE kwa wino mwekundu, bonyeza hapo, ila hakikisha trafk, sio kubwa...
  Ila baadae, zitakubali.
   
 8. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,902
  Likes Received: 4,758
  Trophy Points: 280
  TCU wamesema sio lazima programs zoote 8 uwe eligible wanasema hata zikiwa 6
   
 9. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  je eligible zikiwa less than 6 hapo inakuaje..?
   
 10. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Umeonaeeeeee, wabongo tuna kazi za kuchezea system tu.
   
 11. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  kweli kaka waambie sana kwa sababu madogo wengine hawajui mitandao mda wote nikubadilishabadilisha tafikiria wako facebook
   
Loading...