msaada wa mawazo kwenye hili biashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa mawazo kwenye hili biashara

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by kasambalakk, Apr 10, 2012.

 1. kasambalakk

  kasambalakk Senior Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  habari zene ndugu wanajamii
  me ni mmoja wa watu ambao ninataka kuanza kufanya biashara ya bodaboda
  nimepata dereva mzuri ambae ni mwanifu sana kuliko maelezo
  nichoomba ni kuwa mfano mkataba wa biashara hio kat yangu mmliki na dereva jinsi unavyokuwa
  ili niweze kumbana huyo kijan ili awe makini na kazi..
  nitafurahi sana kupata mkataba ambao utanipa muongozo vizuri kwenye hili.

  pia na hesabu ya wiki na jinsi ya kutunza kifaa kwa muda muafaka  shukran
  kk
   
 2. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Naona hakuna mwenye uelwa na hii kitu, nakushauri waone business planers watakupa mchanganuo wa biashara yako na utapangiwa pia muda wa service kwa ajili pikipiki yako.
   
Loading...