Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,261
- 18,265
Amani iwe juu yenu Waungwana,
Miezi kadhaa iliyopita tume hudhuria ndoa iliyofungwa kati ya Kaka na Dada Mabinamu (Mtoto wa Mjomba na Shangazi), Harusi ilifana na pande zote mbili zilishiriki kikamilifu.
Sasa tumepata habari tena kua kuna Kaka na Dada (Mtoto wa Mama mkubwa na Mama Mdogo) wamependana na wanataka kufunga ndoa,
Ajabu familia imetikisika, wazazi wa pande zote mbili wanapinga kwa afya na nguvu zote, kua hawawezi kuoana kwa kua wale ni kaka na dada hivyo ni ndugu.
Sasa nimeshindwa kuelewa jambo hili, Kwani watoto wa Mjomba na Shangazi almaarufu kama BINAMU sio NDUGU???
Kwanini jamii ikubali ndoa zao na ikatae ndoa za Watoto wa Mama mkubwa na Mama mdogo???.
Ndio na mimi nashangaa, kama mwanzo ilikua sawa vipi sasa iwe haramu.damu ni hyo hyo tu
dada mtu
kaka mtu
dada mdogo
kama mtoto wa dada mtu anaweza kuona na mtoto wa dada mtu au dada mdogo hata dada mtu na dada mdogo sawa tu .seti ni hyo hyo
Naam.Nyie mna asili ya mashariki ya kati?
Namimi najiuliza vipi wakatazwe hawa??Wamejisahau, siku zote mtoto sio wa upande wa mama, mtoto ni wa upande wa baba, sasa ikiwa ni hivyo, mtoto wa mama mkubwa na mtoto wa mama mdogo utawakatazaje kuoana??? Maana hapo koo ni tofauti
Kama hao kaka na dada wana asili ya huyo mtu aliyepo kwenye profile yako sidhani kama kuna neno.Amani iwe juu yenu Waungwana,
Miezi kadhaa iliyopita tume hudhuria ndoa iliyofungwa kati ya Kaka na Dada Mabinamu (Mtoto wa Mjomba na Shangazi), Harusi ilifana na pande zote mbili zilishiriki kikamilifu.
Sasa tumepata habari tena kua kuna Kaka na Dada (Mtoto wa Mama mkubwa na Mama Mdogo) wamependana na wanataka kufunga ndoa,
Ajabu familia imetikisika, wazazi wa pande zote mbili wanapinga kwa afya na nguvu zote, kua hawawezi kuoana kwa kua wale ni kaka na dada hivyo ni ndugu.
Sasa nimeshindwa kuelewa jambo hili, Kwani watoto wa Mjomba na Shangazi almaarufu kama BINAMU sio NDUGU???
Kwanini jamii ikubali ndoa zao na ikatae ndoa za Watoto wa Mama mkubwa na Mama mdogo???.
Lakini mwanzo haikuonekana kama kosa, ilionekana ni sahihi kabisa ila hii ya sasa ndio imekua kosa,[emoji115]Rafiki uovu wa kwanza hauwezi kutumika kuhalalisha uovu wa pili e.t.c uendelee kutokea!!......Familia iko sahihi,haina maana kwa sababu walikosea mwanzo ndugu wakaoana basi kitumike kama kigezo cha ndugu kuendelea kuoana!!
Hakuna namna.Wacha waoane[emoji442] [emoji445] [emoji441]
Kumbe hakuna neno eeh, ila wanadai jamii inachukulia vibaya ndoa ya aina hiyo lakini za binamu ni sawa.Kama hao kaka na dada wana asili ya huyo mtu aliyepo kwenye profile yako sidhani kama kuna neno.
Kumbe hakuna neno eeh, ila wanadai jamii inachukulia vibaya ndoa ya aina hiyo lakini za binamu ni sawa.
Kuna jamii yao na Jamii inayowazunguka.Jamii za kina nani ilhali katika jamii zao inaruhusiwa?
waisilamu ndivyo mlivyo! endeleeni kuoana hadi na watoto zenu!Amani iwe juu yenu Waungwana,
Miezi kadhaa iliyopita tume hudhuria ndoa iliyofungwa kati ya Kaka na Dada Mabinamu (Mtoto wa Mjomba na Shangazi), Harusi ilifana na pande zote mbili zilishiriki kikamilifu.
Sasa tumepata habari tena kua kuna Kaka na Dada (Mtoto wa Mama mkubwa na Mama Mdogo) wamependana na wanataka kufunga ndoa,
Ajabu familia imetikisika, wazazi wa pande zote mbili wanapinga kwa afya na nguvu zote, kua hawawezi kuoana kwa kua wale ni kaka na dada hivyo ni ndugu.
Sasa nimeshindwa kuelewa jambo hili, Kwani watoto wa Mjomba na Shangazi almaarufu kama BINAMU sio NDUGU???
Kwanini jamii ikubali ndoa zao na ikatae ndoa za Watoto wa Mama mkubwa na Mama mdogo???.
Sijajua hiyo familia ni dini gani,lakin kama ni waislam basi Qur'an peke yake inaweza kuwapa mwongozo pasina shaka.Amani iwe juu yenu Waungwana,