Msaada wa matumizi ya dawa hizi

Halafu mkuu Google tu utapata ufafanuzi. Mimi hata nikienda hospital nikapewa dawa lazima nigoogle nisome angalau nipate ABCs sio kubwia tu
 
Hizi dawa zinafaa kula ukiwa unaumwa na kichwa?madoctor karibuni

View attachment 3276261View attachment 3276262
Inategemea wewe unaitumia kwa malengo gani? Unajua hata mtu mwenye syphilis anaweza tumia... simply,
It used to prevent and treat infections Katika sehemu tofauti tofauti za mwili, kwenye ngozi, respiratory tract e.t.c so wewe unaitumia unasumbuliwa na infection ya kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…