Msaada wa majina ya watoto Pacha

Ujumbe wangu ni kuwapa watoto majina ya asili yetu.
Asante kwa kuliona hilo. Tunapoteza utambulisho wetu kwenye kizazi cha sasa kwa majina ya kudownload Google. Tudumishe asili zetu kwa kuwapa majina yanayoakisi sisi ni kina nani. Hakuna mzungu au mchina anaitwa Mapalala, Kaduguda ama Nyanzala.
 
Polen na majukumu ya ujenzi wa taifa letu tz

Naingia madani moja kwa moja
Mwenzenu nimetunukiwa na mwenyez mungu watoto pacha wa kike apo tar 30/3/2018 SAA 3 ucku

Naomben msaada wa majina 2 mazur yanayokarbia kufanana ya watoto wa kike
NB; itapendeza zaidi kwa yale yatakayoanza na herufi L au G

Natanguliza shukran
Georgina na Georgia
 
Nashukuru xn kwa mapendekezo ya majina mazuri ya wanangu wapendwa lkn kutokana na uhitaji kuwa ni majina 2 tu mimi na mwenzangu tumeyapitia na kuchambua kwa umakini majina yote yalopendekezwa na tumeamua kwa pamoja kuwabatiza wanetu majina yafuatayo

1.kulwa -Lydia
2.doto-liliane

Shukrani ziwafikie wadau wote wa jf kwa kunisaidia kuwachagulia watoto wetu majina mazur ingawa baadhi ya wadau walikua wakiingiza utani mfano kuna mdau alipendekeza majina ya....
Chibdiiii na chibdeee
Hii nayo ni sikuishangaa kwan najua utani ni sehenu ya jf pia

Nawashkuru xn wana jf wote na mungu awabarki!!
 
Back
Top Bottom