The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Bei yake?Oliver ipo Nera
Isizidi 50Taja kwanza bajeti yako
Bei zao mkuu.Rock Beach resort!! Pale bwana unaweza hisi uko Miami Beach mamtoni!! Ni fukweni mwa ziwa victoria
Taja eneo na bei mkuuNenda ADEN
Hizo ziko nyingi. Nenda OMEGERAS bei cheap kitanda kitamu balaa chakula unaweka order unafuatiwa sehemu yoyoteIsizidi 50
Iko mahala gani mkuu, na bei yakeHizo ziko nyingi. Nenda OMEGERAS bei cheap kitanda kitamu balaa chakula unaweka order unafuatiwa sehemu yoyote
Ni uwezo wako tu, bei ya chini ni 35,000! ila ki ukweli ni pazuri, kwanza ni sehemu tulivu ziwa victoria unaliona hilo!! Watu wote ambao niliwaelekeza hapo ndio sehemu yao ya kufikia toka wapafahamu!!Bei zao mkuu.
Nera ni wapi? Kuna moja nililala mwaka juzi inaitwa oliver ilikua somewhere kulia ile barabara kama unaenda airport kabla hujafika daraja la furahishaOliver ipo Nera
Malaika!!! Acha utani...anataka lodge we unampeleka five star wanayolipa $112 per night...stand pale nyegezi nakumbuka unalipia kitanda tu, unalala kama wodini. sijui kama bado huo utaratibu upo.
Ila kama unataka gharama au uko vizuri au ubishoo ingia hata Malaika Ulale unaangalia SATO.