MSAADA WA KUSIKILIZA RADIO INTERNET KWA NJIA YA SIMU YA MKONONI {Nokia}

Hulbjd

Member
Jan 30, 2012
36
2
Wakuu poleni na uchovu wa siku, natumaini kila mmoja humu yupo mzima wa afya na kama yupo anayeumwa basi tumwombeeni aweze kurudi hali yake ya mwanzo. Wakuu mimi ninatatizo la kutoelewa ni njia gani mzitumiazo kusikiliza redio za internet, mfano napenda kusikiliza timesfm.co.tz ila nashindwa kwa kutumia simu yangu ya mkononi.
 
Kwanza lazima uwe na net ktk cmu yako pili download TUNEIN then install halafu search local radioas...chagua unayotaka then play
 
Ktk search ingine yoyote mf google.
Type: free ddownload tunein then click search. Ikija download then install.

Unatumia cm gani au ni laptop/pc? Kama ni smart phone basi ni rahc zaidi
 
Back
Top Bottom