Hulbjd
Member
- Jan 30, 2012
- 36
- 2
Wakuu poleni na uchovu wa siku, natumaini kila mmoja humu yupo mzima wa afya na kama yupo anayeumwa basi tumwombeeni aweze kurudi hali yake ya mwanzo. Wakuu mimi ninatatizo la kutoelewa ni njia gani mzitumiazo kusikiliza redio za internet, mfano napenda kusikiliza timesfm.co.tz ila nashindwa kwa kutumia simu yangu ya mkononi.