Internet inaweza kuwa ni mwiba kwa mitandao ya simu kupelekea kupandisha huduma hii

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Miaka 2000 kampuni za simu zilijizolea pesa nyingi kupitia simu za mkononi sababu kulikuwa hakuna huduma nyengine zaidi ya kupiga simu na sms.

Teknolojia uwezi kuzuia mabadiliko mfano mashirika ya posta yalivopinga vikali huduma ya barua pepe kuingia.

Baada ya mabadiliko makubwa kuibuka kwa simu janja kumeongezeka huduma ambazo zinatumika mbadala
wa huduma za simu kama wanavotoa kampuni za simu.

huduma ya internet inaonyesha kuwapotezea pesa nyingi ukilinganisha na zamani walivokuwa.

Huduma ambazo ni mwiba ni hizi zilizo mbadala wa mawasiliano ya kawaida.

Ukiangalia simu yako janja kitu gani unatumia utakuta ni huduma ambazo sio mawasiliano kama kupiga na kutuma sms.

Je kampuni za simu ndio njia sahii ili kukabiliana kurudisha kama mlivokuwa zamani.
 
Miaka ya hivi karibuni hakuna MTU analalamikia gharama kubwa za muda wa maongezi isipokuwa internet Tu.
Network providers wote wamehamia kwenye data tu huku ndiko makamuzi yapo na wanatukamua kwelikweli, tulio wengi dakika zetu ZINA expires Kwa kukosa wa kumpigia Ila sio internet
 
Back
Top Bottom