maria spaces

Santa Maria (Spanish for "St. Mary") is a city in Santa Barbara County, California, United States. Located on the Central Coast of California, it is approximately 65 miles (105 km) northwest of Santa Barbara and 150 miles (240 km) northwest of downtown Los Angeles. Its population was 109,707 at the 2020 census. The city is notable for its wine industry and Santa Maria–style barbecue.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Jamani kuna kijana huko Maria SPACES anaitwa MTU WA WATU. Ni siku nyingi haonekani, kulikoni? Nina wasiwasi na maisha yake

    Alikuwa hakosoi Maria spaces na mchangiaji/ speaker mzuri and very critical! Anakaa Kimara Baruti na anatoka Musoma. Ni siku nyingi sasa haonekani.. Nina wasiwasi kama bado mzima maana alikuwa very critical of regime. Mwenye taarifa zake atujuze please.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Naona Maria spaces leo kizungumkuti kunani? Au ni topic ya màndamano wame block kila kitu

    Mimi siipati kabisa. Kulikoni? Au topic ya màndamano imetisha serikali na TCRA wameziba kabisa mtandao
  3. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi - XSpaces

    Leo #MariaSpaces tunajadili: Kuelekea Oktoba 29 - Tunatokaje? Tunaona ukatili na utekaji usio na kifani nchini baada ya #OktobaTunatoka kushika kasi! Wanatuuzia woga! Sasa kama sababu tunayo, nia tunayo, uwezo tunayo - je tunatokaje? Njoo tujadili saa 2 usiku leo!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Maria spaces unafanya kazi nzuri na wachangiaji wa mijadala yako, but observe objectivity kwa wachangiaji wako

    Maria nakupongea kwa unachokifanya. Kazi yenye baraka za Mungu. HAKI NA DEMOKRASIA My concern is: Wachangiaji wawe objective should not be influenced by personal feelings or opinions in considering and representing facts. They should avoid unfounded speculation na kuzifanya kuwa concete...
Back
Top Bottom