Mimi piaHata mimi jamani inaudhi
Hapo kwenye hicho kialama cha group,ukiclick unaona contacts zote na kuziupdate pia.Hata mimi jamani inaudhi
Jaribu kuiangalia hii technologia mpya kwa mtazamo tofauti.....Mkuu hata mimi hii update mpya ya whatsapp siielewi kabisa hasa hapa kwenye STATUS ngoja waje wataalamu watueleweshe
Whatsapp ya mwanzo ilikuwa inapendwa na wengi hadi watu wazima haikuwa mambo mengi ya utoto kam fb,snapchat au instagram..hii sas imekuwa complecation nyingi..status unaweka picha masaa 24 inafutka..kwa watu ambao wapo busy na mambo yao usumbuf mwing,kutafut contanct mpak ubonyeze bahasha juu kule..hii version mpya chenga saanKwa utafiti niliofanya 87% ya watumiajii wa WhatsApp awajuhi kutumia version mpya ya WhatsApp.
Hii version ukijua kuitumia ni nzuri sanaaa
Mbona watu mnakuwa wagum kuadopt technology
Hvi hii kitu inasupport kwnye iphone.?au ni android tu
Mkuu sidhani kama iphone inasupport hizo applications za apk.Hvi hii kitu inasupport kwnye iphone.?au ni android tu