mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,724
sio teknolojia tu;hata sheria,"the law doesnt act retrospective"Hile ya zamani ni expired version. Jifunze ivo ivo tu utajua... Teknolojia huwa hairudi nyuma.
sio teknolojia tu;hata sheria,"the law doesnt act retrospective"Hile ya zamani ni expired version. Jifunze ivo ivo tu utajua... Teknolojia huwa hairudi nyuma.
Ki ukweli njia rahisi naayojua mimi ni kuupdate tu akuna namna. Kwa sababu usipofanya ivo itazuiwa (itafungiwa)Njia nyingine mbadala wa hii ni ipi ambayo ipo Practical zaidi ni ipi..tujuze tujue mkuu [emoji113] [emoji61]
Kwa whatsapp hii ya Play store lakini nafikiri kwa maana kuna mdau nimemuuliza akaniambia yeye anatumia GB whatsapp na huwa hafanyi updates since mwaka jana mwezi january alipoiinstall na vitu vingine anapata fresh tuKi ukweli njia rahisi naayojua mimi ni kuupdate tu akuna namna. Kwa sababu usipofanya ivo itazuiwa (itafungiwa)
Duuh, sina uzoefu na hiyo siwezi tia neno. Labda wanaojua wanaweza kuongelea hilo nami nijifunze kituKwa whatsapp hii ya Play store lakini nafikiri kwa maana kuna mdau nimemuuliza akaniambia yeye anatumia GB whatsapp na huwa hafanyi updates since mwaka jana mwezi january alipoiinstall na vitu vingine anapata fresh tu
Poa poa mi yenyewe naijua kwa juu juu tu sio kihivyo sana kwamba GB whtsapp ina features mbalimbali na za namna yake tofauti na hii ya kawaida ya PlaystoreDuuh, sina uzoefu na hiyo siwezi tia neno. Labda wanaojua wanaweza kuongelea hilo nami nijifunze kitu
Wacha wanaojua wakuje watoe darasa mkuuPoa poa mi yenyewe naijua kwa juu juu tu sio kihivyo sana kwamba GB whtsapp ina features mbalimbali na za namna yake tofauti na hii ya kawaida ya Playstore
Kweli aisee ngoja waje wengine tuondoe utata na tujifunze mapya...Pamoja sanaWacha wanaojua wakuje watoe darasa mkuu
Hili ndio nenoWhatsapp inataka kufanana na insta na snapchat
Hata me inanisumbua sana hasa hapa kwenye STUTAS inakuaje hapo mkuuu
Nenda chats juu utaona isNingekuwa hata nisinge update. Hii new version inazingua Sion contact
Download gb whatsapp then nenda settings uweke old uiDah wadau naomba msaada wasap hii update naona ngumu kwangu kutumia
Naomba mnielekeze jinsi ya kirudisha ile ya zaman kwo yeyote anayeweza naomba msaada
Hata mimi jamani inaudhiNingekuwa hata nisinge update. Hii new version inazingua Sion contact
Contact ukiwa pale kwenye chat kwajuu utaona kabahasha gusa hapo zitakuja contactHata mimi jamani inaudhi