Msaada wa kupata maji ya hill na Soda Pepsi kwa bei ya jumla

Masterplan

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
209
348
Naomba kujua kama Kuna mtu ambaye anaweza kunisaidia niweze kupata maji ya hill litre moja maana kwa huku maeneo ya Mbezi mwisho yamekuwa adim Sana pia na Soda za Pepsi.

Kipindi cha nyuma hapa vilikuwa vinapatikana vyote hivyo ila kwa sasa vinapatikana kwa shida sana huku.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom