Tanzia: Mke wa Michael Shirima wa Precision Air afariki dunia

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Taarifa zinazoenea kwa kasi mitandaoni,zinaeleza Mke wa mmiliki wa Kampuni ya ndege PRECISION AIR amefariki dunia nje ya nchi alipokuwa akipata matibabu. Mipango ya mazishi inaendelea Dar na Arusha.
 
USAHIHI: Nikweli Mke wa Michael Shirima Miliki wa kampuni ya Ndege ya Precision Air amefariki jumatatu huko.nchini Africa ya Kusini Alipokuwa anasumbuliwa na Ugonjwa wa Saratani. Maziri yatafanyika Rombo Jumatano ya wiki ijayo

Chanzo: Visent Shirima Mtoto wa Marehemu
 
Mzee Shirima na family yako..poleni saana.Yeye mbele sisi nyuma yake na kila nafsi itaonja umauti.Huyu Mama alikuwa mtu wa watu na alithamini kila mtu bila ya kujali hali zao.Mama Materu headteacher wangu wa Arusha Sec..pole kwa kufiwa na mdogo wako.
 
Kuna wakati ukifika pesa si kitu kabisa. Poleni sana wafiwa.
 
USAHIHI: Nikweli Mke wa Michael Shirima Miliki wa kampuni ya Ndege ya Precision Air amefariki jumatatu huko.nchini Africa ya Kusini Alipokuwa anasumbuliwa na Ugonjwa wa Saratani. Maziri yatafanyika Rombo Jumatano ya wiki ijayo

Chanzo: Visent Shirima Mtoto wa Marehemu
Ni saratani ipi iliyomuua?
 
Back
Top Bottom