Michael Shirima Ngaleku founder of Precision Air ameni inspire sana kupenda aviation

mcTobby

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
548
1,000
Kitambo sana enzi hizo nikiwa chalii mdogo naishi kijiji cha nayeme nilianza kusikia hili jina likivuma sana.

Huyo ni Maiko Ngaleku tulikuwa tunahadithiana na kufarijiana kama watoto wa hapo kibaoni na Nayeme kwamba tukiwa wakubwa tunataka kuja kuwa kama Maiko Ngaleku kwa vile anamiliki ndege. Na kweli tulikuwa tukisikia inapasua anga tunapiga kelele ndege ya "Maiko Ngaleku hiyoo".

Kwa kweli since then nimekuwa nikipenda sana mambo ya ndege.isitoshe pia hata primary school niliosoma ya nanjara na yeye kasomea hapo back in those days wakati wa ukoloni huyu jamaa ndio key chairman wa shirika la precision air.

Na I hope one day yes nitakutana naye na kama sitobahatika kukutana naye basi ajue tu yeye ndio ameni inspire Sana katika kupambana(still on fight) ndoto za kuja kuwa rubani baadaye (I hope so) na pia naamini nitakuja kupanda props za shirika lake akina atr72 na 42..

Kwa walioishi TARAKEA au usseri, huku hili jina sio geni kwao. Kwa kweli naliombea hili shirika alilolianzisha listawi na hata kuja kuanza kufanya longhaul flight baadaye. Long live PRECISION AIR.

"WE ARE WHY WE FLY". Hii ni moja ya statement yao inayonivutia sana.

Hat off kwa michael shirima mzaliwa wa Rombo Kilimanjaro.
 
solars

Member
Sep 1, 2020
89
150
Kitambo sana enzi hizo nikiwa chalii mdogo naishi kijiji cha Nayeme nilianza kusikia hili jina likivuma sana.
Umeongelea mambo mawili; umiliki wa ndege kama kampuni (aviation company), na urubani wa ndege (as an interest). Haya mawili yaende kwa pamoja, au moja kati ya hayo? Yanaweza kwenda kwa pamoja lakini safari ikawa ndefu zaidi.

Yawezekana huyo aliyeku-inspire alipitia route hiyo, lakini wewe kama nia yako ni kuwa na kampuni ya usafiri wa anga, sio lazima upitie njia aliyopitia huyo jamaa, you might take a longer route unnecessarily, kwani sio wote wanaomiliki aviation company walikuwa marubani. Hii ni sawa na kusema ukitaka kumiliki kampuni ya usafiri wa mabasi, basi ni lazima kwanza uwe dereva.
 
Nop sijasema na mimi nina interest ya kumiliki kampuni hapana .ila ameni inspire tu katika kutamani kufanya kazi kwenye hiyo sector ya usafiri wa anga
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom