R Retired JF-Expert Member Jul 22, 2016 43,381 81,191 May 16, 2017 #1 Wapendwa naweza kupata wapi government notices. Zinachapishwa wapi? naweza zipataje.
B BISECKO JF-Expert Member Nov 28, 2016 640 712 May 19, 2017 #2 Nenda maduka ya serikali ya serikali wanapouza magazeti ya serikali na machapisho mengine.
R Retired JF-Expert Member Jul 22, 2016 43,381 81,191 May 19, 2017 Thread starter #3 BISECKO said: Nenda maduka ya serikali ya serikali wanapouza magazeti ya serikali na machapisho mengine. Click to expand... mtaa please kama unaujua.
BISECKO said: Nenda maduka ya serikali ya serikali wanapouza magazeti ya serikali na machapisho mengine. Click to expand... mtaa please kama unaujua.
B BISECKO JF-Expert Member Nov 28, 2016 640 712 May 19, 2017 #4 Kama upo Dar nenda maeneo ya posta ulizia utaelekezwa
sajo JF-Expert Member Nov 8, 2010 3,245 5,839 May 20, 2017 #5 Pia unaweza kupata nakala kwenye tovuti ya utumishi Downloads | Government Gazette Japo wanapakia kwa kuchelewa kidogo
Pia unaweza kupata nakala kwenye tovuti ya utumishi Downloads | Government Gazette Japo wanapakia kwa kuchelewa kidogo